Ukweli kuhusu Arusha City Vs Mwanza City

Ukweli kuhusu Arusha City Vs Mwanza City

Attachments

  • IMG-20220509-WA0008.jpg
    IMG-20220509-WA0008.jpg
    44.5 KB · Views: 40
Habari wana JamiiForums,

Kwa muda mrefu kumekuwa na battle kati ya A-city Vs Rock City. Nimefuatilia kwa makini nimeona pande zote hakuna anayekubali kushindwa.

Lakini kwa mtazamo wangu wa kawaida ukweli ndio huu:

01. Population Arusha city iko half of Mwanza rock city
02. Kujengwa kwa city Chuga iko 90% wakati rock city iko 50% wakati Dar city 100% na a-city 75%
03. Kwa ujanja a-city 80%, Dar city 99% na rock-city 40%.
03. Kwa mzunguko wa hela Dar-city 90%, A-city 70% na rock city 60%
04. kwa hali ya hewa A-city 100%, Dar-city 40% Na Rock City 50%

NOTE; I was born in a city but, I am living in Monrovia

giphy.gif
 
Wewe limbukeni akili yako iko matakoni ukitekenywa na mmeo unachekelea kama chizi.
 
Wewe limbukeni akili yako iko matakoni ukitekenywa na mmeo unachekelea kama chizi.
Arusha inakusanya kitu mbaya sana sio kwa mapovu ya Omo unayotoa..

Sweet Arusha inaendelea kukupa dozi wewe mburula wa Mwanza 👇
 

Attachments

  • B207A804-4B55-4A70-8815-219AA98D136C.jpeg
    B207A804-4B55-4A70-8815-219AA98D136C.jpeg
    128.2 KB · Views: 32
  • 4BC25666-7616-4500-B2E8-0BA273BFB2C6.jpeg
    4BC25666-7616-4500-B2E8-0BA273BFB2C6.jpeg
    132.2 KB · Views: 32
  • 0510D9DB-7F33-4BDE-9AF2-E3D0161AB5B8.jpeg
    0510D9DB-7F33-4BDE-9AF2-E3D0161AB5B8.jpeg
    126.4 KB · Views: 34
Hii ndio maana Halisi ya kuwa Jiji la Kidiplomasia 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220720-080820.png
    Screenshot_20220720-080820.png
    113.8 KB · Views: 30
International bussiness fair Kama hizi huwezi pata hapo meru town
IMG_20220725_221110.jpg
 
Back
Top Bottom