The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
😂😂😂😂😂😂 ghorofa tatu na vibanda kuna cha ajabu hapo?. Punguza wengeHuna cha kujibu 😃😃
Arusha baby 👇
View attachment 2110600
View attachment 2110601
View attachment 2110602
😂😂😂😂😂😂 ghorofa tatu na vibanda kuna cha ajabu hapo?. Punguza wengeHuna cha kujibu 😃😃
Arusha baby 👇
View attachment 2110600
View attachment 2110601
View attachment 2110602
Ila Mwanza hawana barabara nzuri kama za Arusha kama hii ya kwenda Namanga to Moshi.pia barabara ya kuingia mwanza toka nzega ni mashimo tuuu
Stendi bora ukitoa ya mbezi inayofuata ni ya nyamhongolo.mwanza Tuna Bugando Arusha________
Mwanza kuna S.A.U.T na Chuo cha Afya Bugando(Cuhas) Arusha_________
Rock city Mall..Arusha_______
CCM Kirumba na uwanja wa Arusha upi unavutia__________
Stendi?? Nyegezi inajengwa upyaaa,Arusha ile stend ni hudhuni__________
Nani kasema amna Mzunguko wa pesa?? Kilimo kipo,,Uvuvi dagaa&Samaki,,Nguo mitumba wanatoa Uganda,Tourism pia ipo....Arusha ukitoa utalii kuna________
Eti k/koo ya mwanza ni makoroboi?? Uko serious kwel au umeropoka tu??_________
Hali ya Hewa sidhani kama kuna mkoa unaushinda kwa hali ya hewa Mwanza iko moderate sio joto sio baridi_____
unaandika huku unaumia🤣Anae iponda mwanza ana lake jambo
Binafsi, the best city in Tanzania kwa kuishi/kufanya biashara. Hata ukinipeleka kenya nichaguwe jiji la kuishi, nitachaguwa kwetu/Mwanza
unaandika huku unaumia🤣
milele kijiji chenu cha wavuv hakiwez kuifkia Arusha
unaandika huku unaumia🤣
milele kijiji chenu cha wavuv hakiwez kuifkia Arusha
Mkuu bora kijiji cha wavuvi kuliko kijiji cha wakulima wa bangi. Jengeni mji wenu acheni porojo. Soko la kilombero utazani dampo la tandale.unaandika huku unaumia🤣
milele kijiji chenu cha wavuv hakiwez kuifkia Arusha
Wanataka kujikuza kupitia Mwanza.Hivi unafananishaje Mwanza na Arusha kuwen sirias jaman Mwanza ni jiji ujue
Kupata vichekesho kama hivi tukupigie kwenye namna gani? 😀😀Mwanza ni jiji linalovutia watu wengi na kukua kwa kasi sana,Arusha imeganda katika ukuaji wa jiji hasa baada ya biashara za utalii kuzorota ikiwemo mahoteli mengi kufungwa.
ULITAKA LIWEKWE TAKO LA MAMA YAKO?.Arusha imeorodheshwa kwenye majiji 10 Bora ya utalii Duniani 👇