Ukweli kuhusu Arusha City Vs Mwanza City

Ukweli kuhusu Arusha City Vs Mwanza City

Ona hapa kijiji cha wavuvi kilivyochakazwa,Mwanza shindaneni na Tanga,Mbeya na Kahama 😄😄

1643456511815.png
 
Habari wana JamiiForums,

Kwa muda mrefu kumekuwa na battle kati ya A-city Vs Rock City. Nimefuatilia kwa makini nimeona pande zote hakuna anayekubali kushindwa.

Lakini kwa mtazamo wangu wa kawaida ukweli ndio huu:

01. Population Arusha city iko half of Mwanza rock city
02. Kujengwa kwa city Chuga iko 90% wakati rock city iko 50% wakati Dar city 100% na a-city 75%
03. Kwa ujanja a-city 80%, Dar city 99% na rock-city 40%.
03. Kwa mzunguko wa hela Dar-city 90%, A-city 70% na rock city 60%
04. kwa hali ya hewa A-city 100%, Dar-city 40% Na Rock City 50%

NOTE; I was born in a city but, I am living in Monrovia
mtoa mada wenyewe hata hajielew! angalia tu iyo namba mbili alivyoiandika ndio utajua hamna kitu
( 2) kujengwa kwa city anakwambia chuga 90% halafu hapo hapo anakwambia A-city 75% sasa mmemuelewa nn? sasa kwa taarifa yako tangu sensa ya mwaka 1962 mwanza haijawahi shuka nafas ya pili mpaka sensa ya mwaka 2012 subir sensa ya mwezi wa 8 mwaka huu ndio itatoa majibu haina haja ya kubwabwajabwabwaja...watu wa mwanza tumechoka na hizo battle zenu
 
1539939_IMG_2692.jpg
1540298_18921075_1537861512924864_6350696721970435323_o.jpg

Nilikuambia utaaibika kwasababu huna exposure yoyote. Mmejitekenya na kucheka wenyewe. Tukiweka kambi hapa mtaukimbia uzi
 
Usilinganishe Arusha na mwanza wala Dom. Arusha ilinganishe na mbeya, iringa na Tanga. Usitake ujiko wa kijinga.
 
mtoa mada wenyewe hata hajielew! angalia tu iyo namba mbili alivyoiandika ndio utajua hamna kitu
( 2) kujengwa kwa city anakwambia chuga 90% halafu hapo hapo anakwambia A-city 75% sasa mmemuelewa nn? sasa kwa taarifa yako tangu sensa ya mwaka 1962 mwanza haijawahi shuka nafas ya pili mpaka sensa ya mwaka 2012 subir sensa ya mwezi wa 8 mwaka huu ndio itatoa majibu haina haja ya kubwabwajabwabwaja...watu wa mwanza tumechoka na hizo battle zenu

Naomba kuuliza sensa ya 2012 geita ilikua bado iko mwanza au ilikua ishakua mkoa.

Kama ilikua bado basi mwanza inaweza kuja na idadi ndogo ya watu maana imepunguzwa
 
Usilinganishe Arusha na mwanza wala Dom. Arusha ilinganishe na mbeya, iringa na Tanga. Usitake ujiko wa kijinga.
Siku hicho kijiji cha wavuvi kikipata barabara kama hizi mnitag,na ujenzi unaanza tena baada kupokea fedha kutoka Japan..

Kazi iendelee 👇

Screenshot_20220204-210915.png

images (45).jpeg

images (46).jpeg
 
Naomba kuuliza sensa ya 2012 geita ilikua bado iko mwanza au ilikua ishakua mkoa.

Kama ilikua bado basi mwanza inaweza kuja na idadi ndogo ya watu maana imepunguzwa
Geita haijawahi kuwa sehemu ya jiji
 
Tembea kwanza utoke nje ya mkoa wako ujifunze, kubishana na watu kama wewe ni kupoteza mda. Vinginevyo kafanye sensa yako

Siko kubishana nimekaa mecco zaidi ya miaka 5, nimekaa arusha zaidi ya 2 year. Nimeuliza swali sensa ya 2012, geita ilikua imekwisha kua mkoa au ilikua bado wilaya?
 
Back
Top Bottom