Ivan Breaker
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 1,384
- 5,504
Naona unabadili angle na make up tuu 🤣🤣🤣
Tumajengo tuletule angle tofauti,kila picha utaona nssf building 😁😁😁
Tunawaacha wapige picha hiyo hiyo kwa angle tofauti afu tunawajipu kwa vitendo.Watu wangu wa Arusha mnaniangusha mko wapi sasa jamaa wanatamba huku!
Unaanza kulia kulia wakati ulikuwa unajigamba tulikuwa kimya ukajipendekeza kupost picha. Tulia sindano iingie vizuri.Tumajengo tuletule angle tofauti,kila picha utaona nssf building 😁😁😁
Hujui chochote umatusumbua tu. Ujenzi wake jengo hili upo hatua nzuri tu nenda kapige picha badala ya kutuletea ulichokileta hapa. Tunabishana na mwehu hata unachokipost hukielewi.Tunawaacha wapige picha hiyo hiyo kwa angle tofauti afu tunawajipu kwa vitendo.
Miradi kama hii tunaikuta Addis Ababa na Arusha tuu , huwezi ikuta kwenye Vijijini vya Wavuvi kama Mwanza👇
View attachment 2110099
View attachment 2110100
Tunawaacha wapige picha hiyo hiyo kwa angle tofauti afu tunawajipu kwa vitendo.
Miradi kama hii tunaikuta Addis Ababa na Arusha tuu , huwezi ikuta kwenye Vijijini vya Wavuvi kama Mwanza👇
View attachment 2110099
View attachment 2110100
Unaupiga mwingi...Tunawaacha wapige picha hiyo hiyo kwa angle tofauti afu tunawajipu kwa vitendo.
Miradi kama hii tunaikuta Addis Ababa na Arusha tuu , huwezi ikuta kwenye Vijijini vya Wavuvi kama Mwanza👇
View attachment 2110099
View attachment 2110100
Hakujatengwa ki hivyo,miradi inafanyika ila tuu Wakubwa ndio hawaji kuzindua .Unaupiga mwingi...
Ukitoka hapa urudi tena kwenye thread yetu ya
kutengwa kwenu nyanda za juu kusini.
Kwani wewe ukiweka hapa hiyo picha utageuka Jiwe? Siko Arusha na siwezi acha shughuli zangu niende kupiga picha ya kukufirahisha wewe..Hujui chochote umatusumbua tu. Ujenzi wake jengo hili upo hatua nzuri tu nenda kapige picha badala ya kutuletea ulichokileta hapa. Tunabishana na mwehu hata unachokipost hukielewi.
Nani analia, yaani Mwanza yote piga angle zote ila hapa hamtoki 👇Unaanza kulia kulia wakati ulikuwa unajigamba tulikuwa kimya ukajipendekeza kupost picha. Tulia sindano iingie vizuri.