Ukweli kuhusu alama ya mnyama

Mkuu hebu acha sarakasi, hizo link kuwa mnyama ni uislamu zipo nyingi, na tushaziona ni utumbo, mimi nimesoma maelezo yako , mbona kama unataka kukimbia maswali, kuna ugumu gani ukiyajibu ? Umeombwa majibu hata mimi nayasubiri ,unasema twende kwenye link , serious ?

Na uhakika asilimia mia huna ubavu wa kujibu hata aya moja, maana hata mimi nipo hapa nataka nikuoneshe kuwa upo wrong, wewe jibu basi hata aya 1 tu, hiyo kuokoteza kimtari huku na huku unaunganisha na kutoa conclusion et mnyama ni Uislamu , unatudanganya,nikuulize swali kuhusu sifa moja wapo ya mnyama anayezungumzwa hapo , aliua watakatifu , alibadili amri ,majira na sheria , alitawala kwa siku 1260 ,au kibiblia miaka 1260 ,unaweza kunisaidia UISLAMU unahusikaje na hizo sifa?
 
Tatizo lako wewe ni muongo, au umeokoteza vimistari huku na huko ,ukahitimisha mnyama ni uislamu,
Labda nikuulize nini maana ya Mnyama ? Maana biblia imetafsiri , kama unajua maana ya mnyama, niambie

Halafu naomba unisaidie Uislamu unaingiaje kwenye hii aya

Ufunuo 13:1 “Kisha nikaona mnyama AKITOKA KATIKA BAHARI, mwenye pembe kumi, na vichwa saba, na juu ya pembe zake ana vilemba kumi, na juu ya vichwa vyake majina ya makufuru.”

Na kwanini iwe uislamu usiwe ukatoliki/upapa/vatcan?

Mnyama ni nini?

Bahari ni nini?

Pembe ni nini?

Majina ya makufuru ni yapi?
 

Hivi unaweza kumfundisha mtoto wa miaka 2 concept ya artificial intelligence na akaelewa? Kuna prerequisite level kwa kila taaluma duniani, na ukiikosa watu wataimba mchana kutwa na usielewe. Huyo mtu unaedai nimeshindwa kumjibu hataki kujifunza ila anataka mabishano na unfortunately muda huo sina- angekuwa kweli anataka kujibiwa maswali yake academic wise angeona umuhimu wa kusoma niliyomwambia asome. Kama anadhani hayana uhusiano basi angeeleza utofauti uliopo. Hakuna alichofanya au kuonyesha utayari wa kufanya, so what do I do?
Kama kweli wewe unataka kuelewa basi chukua hatua ya kutaka kuelewa ambayo ni kuwa open-minded. Soma nilipomshauri mwenzio asome maana ni prerequisite ya kupata concept.
 
Mkuu acha kuruka sarakasi,
Umepewa sura inayomuhusu mnyama , jibu maswali sasa
 

Sasa kama umesoma na umeona ni utumbo kuna possibility ya mtu kukuambia kitu ukaamini? Umeamua kuwa a closed system, siwezi kukubadilisha.
 
Sasa kama umesoma na umeona ni utumbo kuna possibility ya mtu kukuambia kitu ukaamini? Umeamua kuwa a closed system, siwezi kukubadilisha.
Jikite kwenye Sura inayohusu mnyama ufunuo 13 ,ujibu maswali kwanza ,tujue hata maana ya mnyama unaelewa maana yake?

Vichwa 7 unaelewa maana yake? Kabla hujatudanganya et mnyama ni uislamu

Ufunuo 13:1 “Kisha nikaona mnyama AKITOKA KATIKA BAHARI, mwenye pembe kumi, na vichwa saba, na juu ya pembe zake ana vilemba kumi, na juu ya vichwa vyake majina ya makufuru.”

Hiyo Aya uislamu unahusikaje? Ukijibu nitaamini wewe unajua, lasivyo itakuwa unaleta ngonjera
 
Kwakweli maswali yamekushinda ,pole sana mimi nimefatilia toka mwanzo labda utajibu ,inaonesha hujui kitu, pole sana
 
@mfia ukweli njoo ujibu haya maswali ,lasivyo wewe ni mbabaishaji, toka jana unaruka sarakasi tu
 
@Mfiaukweli njoo ujibu kuna swali hapa, na mimi nataka nione ,je utajibu au utakimbia tena
 
Huu upuuzi mnaobishanaga mnanishangaza sana, kila mtu abaki na imani yake jamani! Wa kwenda mbinguni wataenda wa motoni wataenda! Amna haja ya kuhitillafiana na kupakazana matope kwamba dini flani zuri au baya!
Lazima tuyachunguze maandiko Kama Waberoya, kwenda motoni si mpango wa Mungu kwa wanadamu, huo moto si wa kibinadamu mkuu.
 
Tunaambiwa kwa sasa, wokovu bado ni wa bure. Hayo mambo ya kulazimishana kuwekewa chapa itakuja wakati Neema ya wokovu imefungwa.

Mnapoanza kutisha watu kwa kuleta tafsiri kwa mujibu wa mawazo yenu sio sawa.

Cha msingi, ishi maisha ya kumpendeza Mungu. Hautakua na haja ya kutetereshwa na hizi kelele zingine.
 
Unaweza kutusaidia hiyo chapa ni ipi?
 
Unaweza kutusaidia hiyo chapa ni ipi?

Umenielewa vizuri nilichokiandika? Biblia iko wazi kabisa, hayo mambo ya chapa , kununua na kutokununua bila chapa itakuja baadae, na watakaokataa watapata wokovu kwa mateso makali sana.

Kwa upande wangu, bora upate wokovu wa sasa ulioletwa na Bwana Yesu Kristo, sitakya na haja ya kubashiri chapa ni kitu gani kwa sababu haitanihusu.

Maelezo mengi yanayotafsiri hili jambo yanatofautiana na kupingana kadri ya mleta hoja anasimamia wapi.
 
Kwanza wewe inaonesha hujui kitu, bali unasombwa na ulokole unaamini ndio wokovu

Biblia hiyo hiyo inasema hivi

Zaburi 119:155

WOKOVU U MBALI NA WASIO HAKI KWA MAANA HAWAJIFUNZI AMRI ZAKO


Na nyie mnaojiita walokole mnadai amri za Mungu ziliishia msalabani,

Huo wokovu wenu ni fake, wewe usijifiche kwenye kichaka cha wokovu, Chapa utapigwa tu, na chapa inakuja baada ya habari njema kuhubiriwa ulimwenguni,
 
Hakuna maelezo yanayotofautiana , sema yamegusa iman yako

Unaweza kuniambia mnyama ni nani?

Na alama ya mnyama ni nani?

Muhuri wa Mungu ni upi?
 
Umehama Topic na kuingia kusikojulikana

Alama ya mnyama

Sabato ndio mhuri
Tuchague lipi sasa
 
Siku kanisa katoliki likiamru hayo uliyoyaandika nitaamini ulichoandika,lkn kwa sababu sijaona uwepo wa mambo uliyoyaandika ,siwezi kuamini kabisa maana chuki ya wasabato kwa kanisa hili katoliki imejaa kibubu...
Acheni chuki zisizo na msingi na badala yake mjikite ktk kupeleka roho za watu mbinguni.
 


Kindly read the book below.
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…