Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,598
- 18,418
Nyie Wa Siku ya Saba,Naweza kuchelea kusema huujui usabato
Na nilichokiona kwako , UKWELI UNAKUCHOMA SANA
KUHUSU UPOTOVU WA RC HATA KINA LUTHER ,CALVIN WAMEUELEZEA SANA
SEMA BAADA YA KUFA HAO ,MAKANISA YAO YAKARUD ROMA NA KUPIGA MAGOTI
WASABATO SDA , BIBLIA WANAISOMA MWANZO MWISHO, WAMEJENGWA JUU.YA BIBLIA NA BIBLIA PEKEE, VITABU VYA EGW NI NURU NDOGO HATA YEYE ALIITA HIVO
kwakuwa umekuwa unatoa shutuma kuwa sisi tunawasakama WAKATOLIKI , nilikuomba uje hapa tufanye mjadala kuhusu MNYAMA AYA KWA AYA ukakimbia
Maana niliwahi kufanya hivo na wakatolik wenzako kina otorongongo WAKAKIMBIA MAANA WALIJIKUTA WANABANWA
NILIKUSHANGAA SANA HUJUI HATA MNYAMA NI NANI , MAANA BIBLIA IMEMUELEZA VZR ,TENA INAKWAMBIA ANAKAA JUU YA VILIMA 7 ,
NA PALE VATICAN IPO JUU YA VILIMA 7
KANISA KATOLIK LILIPOONA HUU UNABII UNASAMBAA SANA NA UNALIFUNUA
WALIWAUA WATU WENGI SANA ,BAADAE WAKAANZISHA KIKOS KAZ KIITWACHO MAJESUIT
sasa wewe nakushangaa unashupaza shingo ,umejaa lawama tupu,
Hebu toka nje ya box, mimi nimeishi mishen ya ROMA miaka 12 , nimezaliwa kwenye uislamu ,
Lakin niliamua kutoka nje ya box , nikajua mengi,
Sio unabak unalaumu,
Je unaweza kuniambia hizo AYA ZINAMUHUSU NANI KAMA SIO ROMA?
NA UTAKAPOSEMA SIO ROMA ,MIMI NIMEKUOMBA TUFANYE MJADALA TUKITUMIA BIBLIA NA HISTORIA ,tuthibitishe
Iwapo itathibitika upo sahihi ,mimi nitaamua kukubaliana na wewe.
Mimi nilishaikana iman ya kiislamu Ndan ya msikiti na kuachana nayo, ni baada ya kufanya nao mjadala wakashindwa kunijibu , zaid wakidai YESU ALIKUWA MUISLAMU NA ALISALI MSIKITINI
NIKAWAPA AYA QURAN 22:40 , NIKAWAULIZA MBONA MUHAMAD ANAYATAJA MAJENGO YA IBADA MANNE , NA ANATOFAUTISHA MSIKITI NA SINAGOGI ,WHY MNATAKA KUNIDANGANYA? hapo nikiwa kijana mdogo
Tulihojiana sana , ikabid waniruhusu niachane na UISLAMU,
SASA WEWE UMEBAK UNAKOMAA KISA BABA NI MKATOLIKI,
HEBU TOKA NJE YA BOX ,ujifunze taratibu
Kama kina martin luther waliokuwa makasisi , Alipotoka nje ya box alikuta kwa harakaharaka Makosa 95 .
View attachment 923281View attachment 923282View attachment 923284
Wewe wala hujawahi kuwa Mwislamu.Naweza kuchelea kusema huujui usabato

Mbona umebaki unalialia ohoo ellen , ellen ,Wewe wala hujawahi kuwa Mwislamu.
Na ni afadhali uwe Mwislamu kuliko kuwa Msabato, ambaye huna jipya zaidi ya kuonyesha chuki kwa Kanisa Katoriki na kuishia kuiabudu siku ya Jumamosi.
Msabato ambaye unaacha maagizo ya Yesu Kristo na kumfuata mwanamwali Ellen G White.
Ona hayo mapichapicha uliyopesti hapo ulipo ninukuu. Ndizo Biblia alizo waachia Hellena. Mnazozisoma usiku na mchana.
Mtu akikupinga kwenye hoja yako basi huyo atakuwa Mkatoriki tu.
Hakuna mnacho waza zaidi ya Papa na Sabato, na Wanyama wa kwenye Danieli.
Mimi siwezi kuzungumza na wewe ambaye Elleni amekifunga kichwa chako na kinamuwaza yeye tu.
Mpaka unafikia kujiita Msabato, bora ungejiita Upendo.
Mi nakuambia kijana achana na kuwazia Jumamosi na Papa kila kukukicha.
Elleni amewaingizia chuki ili msiweze kuabudu ktk Roho na Kweli na Moyo uliojaa Upendo, amani na utauwa.
Elleni anawatisha kila siku eti Papa atakuja kuwagonga mihuli ya 666, na kama mkikataa atawatesa vikali.
Ha...ha...ha...kweli yule dada kawakamata pabaya sana.
Kawafunga kamba zake nanyinyi mmefungika.
Nakuonya ndugu, ukitaka kuurithi Ufalme wa Mbingu.
Look for Jesus Christ and Please,
Stay Away From Ellen G. White.
NAKUONA UPO ONLINE MKUU, NJOO TUHOJIHANE HOJA KWA HOJA, MSTARI KWA MSTARIKaribu
NAKUONA UPO ONLINE MKUU, NJOO TUHOJIHANE HOJA KWA HOJA, MSTARI KWA MSTARI
TUANZE HAPA
UFUNUO 13
1 Kisha nikaona mnyama akitoka katika bahari, mwenye pembe kumi, na vichwa saba, na juu ya pembe zake ana vilemba kumi, na juu ya vichwa vyake majina ya makufuru.
2 Na yule mnyama niliyemwona alikuwa mfano wa chui, na miguu yake ilikuwa kama miguu ya dubu, na kinywa chake kama kinywa cha simba, yule joka akampa nguvu zake na kiti chake cha enzi na uwezo mwingi.
3 Nikaona kimoja cha vichwa vyake kana kwamba kimetiwa jeraha la mauti, na pigo lake la mauti likapona. Dunia yote ikamstaajabia mnyama yule.
4 Wakamsujudu yule joka kwa sababu alimpa huyo mnyama uwezo wake; nao wakamsujudu yule mnyama, wakisema, Ni nani afananaye na mnyama huyu? Tena ni nani awezaye kufanya vita naye?
5 Naye akapewa kinywa cha kunena maneno makuu, ya makufuru. Akapewa uwezo wa kufanya kazi yake miezi arobaini na miwili.
TWENDE KWENYE HIZO AYA 5 TU,
NAOMBA NIJIBU MASWALI HAYA KWA AYA YA 1
Nomba nisaidie Mnyama ni nini, Mnyama huyo ni nani, PEMBE ni nini, pembe kumi ni nani, zitaje ,vilemba ni nini, vilemba hivo ni nani,
Makufuru hayo ni yapi ,makufuru ni nini
Majibu yasapotiwe na biblia na historia
AYA Ya 2 ina maana gani inamaanisha nini inaposema hivo....UKITUMIA BIBLIA NA HISTORIA naomba majibu
AYA YA 3. ,Jeraha la mauti ni nini na lilitokeaje kwenye huo uislamu na ilikuwa lini, na lilipona lini
Aya YA 4 .,JOKA NI NANI, JE JOKA ALIMPA NGUVU UISLAMU KIVIPI
AYA YA 5.,MANENO GANI MAKUFURU ALIYANENA ,JE MAKUFURU NI NINI
HIYO MIEZI 42 NI NINI, JE ILIANZA LINI NA KUISHA LINI
TUANZIE HAPO KWANZA KWA AYA HIZO , TU KABLA SIJAKUSHUSHIA MZIGO
Mwanaume hapaswi kulalamika mkuu si utulie ujifunze kwani kuna ubaya gani? mimi nataka nione huyo mnyama ni yupi?Wewe wala hujawahi kuwa Mwislamu.
Na ni afadhali uwe Mwislamu kuliko kuwa Msabato, ambaye huna jipya zaidi ya kuonyesha chuki kwa Kanisa Katoriki na kuishia kuiabudu siku ya Jumamosi.
Msabato ambaye unaacha maagizo ya Yesu Kristo na kumfuata mwanamwali Ellen G White.
Ona hayo mapichapicha uliyopesti hapo ulipo ninukuu. Ndizo Biblia alizo waachia Hellena. Mnazozisoma usiku na mchana.
Mtu akikupinga kwenye hoja yako basi huyo atakuwa Mkatoriki tu.
Hakuna mnacho waza zaidi ya Papa na Sabato, na Wanyama wa kwenye Danieli.
Mimi siwezi kuzungumza na wewe ambaye Elleni amekifunga kichwa chako na kinamuwaza yeye tu.
Mpaka unafikia kujiita Msabato, bora ungejiita Upendo.
Mi nakuambia kijana achana na kuwazia Jumamosi na Papa kila kukukicha.
Elleni amewaingizia chuki ili msiweze kuabudu ktk Roho na Kweli na Moyo uliojaa Upendo, amani na utauwa.
Elleni anawatisha kila siku eti Papa atakuja kuwagonga mihuli ya 666, na kama mkikataa atawatesa vikali.
Ha...ha...ha...kweli yule dada kawakamata pabaya sana.
Kawafunga kamba zake nanyinyi mmefungika.
Nakuonya ndugu, ukitaka kuurithi Ufalme wa Mbingu.
Look for Jesus Christ and Please,
Stay Away From Ellen G. White.
Mkuu unatakiwa ujibu maswali hili nasi tupate faida hili tujue mnyama ni mmoja au wapo wawili ?Nitakujibu. Lakini meanwhile, naomba usome Daniel (chapters 3, 9 and 12) halafu tafuta Quran (usome sehemu inayoongelea Khiyama). Ukimaliza niambie tuendelee.
Mkuu unatakiwa ujibu maswali hili nasi tupate faida hili tujue mnyama ni mmoja au wapo wawili ?
Sawa ila unatakiwa ujibu halafu , kuelewa inabaki kwa muuliza swali, embu mjibu yule bwana wa ufunuo kisha tupime majibu yakoBila mtu kusoma hivyo vitabu nilivyovitaja tutaishia kubishana badala ya kujadiliana. In actual fact tunahitaji kusoma historia ya Middle East ili kupata picha halisi.
Na tunapaswa kukumbuka kuwa maarifa yaliyokuwepo mwanzoni mwa karne ya 19 sio sawa na yaliyopo leo. Miaka 100 iliyopita Biblia ilikuwa 30% (or less) historia na 70% utabiri. Leo hii utabiri ndani ya Biblia ni less than 25% na kilichobaki ni historia.
Sawa ila unatakiwa ujibu halafu , kuelewa inabaki kwa muuliza swali, embu mjibu yule bwana wa ufunuo kisha tupime majibu yako
Sawa naivutaNitamjibu. Vuta subira
Mkuu njoo nijibu, daniel hizo sura hazihusian na quran ,Nitakujibu. Lakini meanwhile, naomba usome Daniel (chapters 3, 9 and 12) halafu tafuta Quran (usome sehemu inayoongelea Khiyama). Ukimaliza niambie tuendelee.
Ha...ha...ha...haMwanaume hapaswi kulalamika mkuu si utulie ujifunze kwani kuna ubaya gani? mimi nataka nione huyo mnyama ni yupi?
Mkuu njoo nijibu, daniel hizo sura hazihusian na quran ,
Njoo nijibu maswali yangu, UISLAM unahusihana vip na hizo aya au maswali
Amani tele ndugu yangu , wacha tuone huu mnakasha unaishia wapiHa...ha...ha...ha
Salamu kwako Mshahara
Ukiwa tayari kumjibu naomba unitag. naona sarakasi zimekuwa nyingi nduguKwa maswali yako haya ina maana hujapata connection kati ya Ufunuo wa Yohana, Daniel na Ezekiel. Haraka ya nini? Wewe soma nilichokuambia ili tuanze mjadala rasmi at least ukiwa umeachana na prejudice unayoonekana kuwa nayo
Ukiwa tayari kumjibu naomba unitag. naona sarakasi zimekuwa nyingi ndugu
Nijibu maswali yangu, sitak. Tabia ya kuokoteza vimistarKwa maswali yako haya ina maana hujapata connection kati ya Ufunuo wa Yohana, Daniel na Ezekiel. Haraka ya nini? Wewe soma nilichokuambia ili tuanze mjadala rasmi at least ukiwa umeachana na prejudice unayoonekana kuwa nayo