Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Na kwa jinsi mkulu wa vijisenti alivyosolve lile so hata issue yake ya kucheat na wale wasichana (R.I.P) ilijidesolve yenyewemasikini weeee.......
Yaani alipomaliza kuwalipa wakapanda kwenye bajaj na mkewe akawagonga hapo hapo Chenge akachukua mzigoKwa hiyo Mkewe alipoamua kuwafukuzia hao wa bajaj, Chenge naye alimfuata kwa nyuma hadi alipoiona hiyo ajali na kujivika au?..............
Tuambie huyo aliyefanya hiyo ajali!! Halafu dereva wa bajaji mpaka leo yuko wapi??Jamani acheni Porojo. Kwa taarifa zenu mke wa Chenge alikuwa Dubai kwa ajili ya shopping ya duka lake. Ukweli ni kwmba Tina Chenge alirudi nchini kesho yake baada ya ajali. Uho ndio ukweli. Ila ni kweli ile ajali akufanya Chenge mwenyewe ila mtu mwingine (private life). Narudia mke wa Chenge alikuwa nje ya nchi wakati wa ajali. I am 100% sure of this.
.....au kapata hii habari kutoka kwa dereva wa bajaji ambaye hajapatikana bado!!Kwa hiyo Mkewe alipoamua kuwafukuzia hao wa bajaj, Chenge naye alimfuata kwa nyuma hadi alipoiona hiyo ajali na kujivika au?..............
Hizi avator za hawa wachangiaji hapa awali zimeniacha hoi nikawa goi goi!
Hata mimi niliyasikia ya huko Mwanza kuwa ndiye aliyewaalika kuja Dar, ndiye aliyeingia nao night club, ndiye aliyekaa nao ndani ya club wakati wote hadi kunatokea kutoelewana, ndie aliyetoka nao club, ndiye aliye wa knock down kwenye hit and run na kuishia zake kwake, polisi walipo pata tip, wakamfuatilia nyumbani, akawapooza, wakamshauri akajisalimishe O-Bay polisi na kuandika statement, kuwa alikimbia kuisalimisha nafsi yake thidi ya angry mob ambayo haikuwepo.Watoto wa SAUT wanajua na wanayaongea sana (sijui kama ni kweli) historia ya chenge na huyo binti, Mwanza hotel, yaliyotokea pale kwenye ajali nk. sema nchi hii mwenye pesa sio mwenzio
Jamani acheni Porojo. Kwa taarifa zenu mke wa Chenge alikuwa Dubai kwa ajili ya shopping ya duka lake. Ukweli ni kwmba Tina Chenge alirudi nchini kesho yake baada ya ajali. Uho ndio ukweli. Ila ni kweli ile ajali akufanya Chenge mwenyewe ila mtu mwingine (private life). Narudia mke wa Chenge alikuwa nje ya nchi wakati wa ajali. I am 100% sure of this.