Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,850
- 2,444
Ok nitapitia nami pia nijifunzeHawa Jamaa https://www.buzzfeed.com/beckybarnicoat/things-you-probably-didnt-know-about-jumanji wameeleza kitu ambacho mwaka 1981 mwandishi Wa vitabu Chris Van Allsburg aliandika kitabu kwa ajili ya hadithi za watoto.
Ukiangalia falsafa ya Voodoo na waaguzi wake wengi kutoka west Africa pamoja na Visiwa vya Haiti au Caribbean wanaeleza kuhusu hiki kitu tena in deep
duuh unacheza kwa muda gani?Sio physical ukiwa ndani ya mchezo ila kama uliingia mzma na kwenye pilikapilika ukapata ulemavu basi ukirudi huku duniani utakuwa ja ulemavu huo.
ikatokea ukashindwa inakuaj?Mkuu huu mchezo hauna muda maalumu kwamba ukichoka utaacha kucheza kwani kutoka kwako ndani ya ulimwengu huu ni kwa kushinda challenges zote za hatari ndani yake.
Duh mbona ni hatariSasa hapo kwenye kushindwa ndo madhara mengi hutokea. Mfano: ulemavu au hata kifo. Ila waaguzi wengi Wa Voodoo wanadai ukishindwa basi ndo kifo hicho.
je,ukishinda Kuna zawadi yeyote ambayo unaipata???Sasa hapo kwenye kushindwa ndo madhara mengi hutokea. Mfano: ulemavu au hata kifo. Ila waaguzi wengi Wa Voodoo wanadai ukishindwa basi ndo kifo hicho.
Mimi nimeiangalia Jumanji 1,kule hakuna kufa wanyama wanakushambulia lakini baada ya sekunde kadhaa unafufuka, ukaendlea na mission. So hakuna kufa until the mission inaisha.
Cha pili ni kuwa ukiwa unaingia kwenye mission lazima uchukue uhusika maalum, mfano kama wewe ni daktari wa mifugo huko unaenda na utaalam wako nk
Naomba kusahihishwa kama nimeandika tofauti
Lakin movie hizo hapo juu zimeonesha ni kama robo ya actual situation ilivyokuwa ndani ya story yenyewe.
Mkuu umeshawahi kuucheza huo mchezo?Mkuu naomba kukueleza kuwa jumanji ni mfano wa draft ambao umefanywa na kufunga kama kitabu.
Jinsi ya kucheza:
Mhusika akifungua kitabu hicho moja kwa anaingia ndani ya ulimwengu mpya ambao ndani yake kuna mission unapewa yenye lengo kuu moja la kusurvive Tu. Ndani ya ulimwengu huu mhusika atawindwa zaidi ya mnyama. Na wawindaji ni majitu makubwa sana pamoja na wanyama wa kutisha pamoja na mimea.
I hope nimekujibu swali lako mkuu......
Hapana!!!Mkuu umeshawahi kuucheza huo mchezo?
je,ukishinda Kuna zawadi yeyote ambayo unaipata???
Zawadi ni uhai kivipi wakati unaanza mchezo ukiwa hai?Kutokana na wengi kutokujua mchezo huu nia yake haswa.
Zawadi pekee ni uhai tu unapona ila napo ni kwa kiasi kidogo sana.
OK,Nimeshamjibu mbona mkuu