Hivi ukipewa nafasi moja tu ya kukutanishwa na mwana jf mmoja tu(ambaye humfahamu kwa sura zaidi ya ID yake tu) ungechagua/ungependa ukutanishwe na nani?
mi ntamtaja badae kidogo..labda anaweza akanitaja yeye...
HAYA TENA..MEMBERS WAPYA WAMEONGEZEKA NA WENGINE WAKONGWE WAMEKIMBIA...KAZI KWAKO!!
imi nipo mamaa hukuhuku tanga, ni wewe tu...Hawa wafuatao The Boss tabibumtaratibu Mafikizolo CYBERTEQ (tunawasilianaga tu kwa sim.i wish nkuone)
imi nipo mamaa hukuhuku tanga, ni wewe tu...
imi nipo mamaa hukuhuku tanga, ni wewe tu...
acha mambo yako wewe....me sijawahi kutafuta mchumba humu, ebu lala kwanza maana naona umevurugikaDogo ushapata mchumba kupitia JF ulietangaza unatafuta? Nilikwambia nikutafutie mzumbe bt hukuni pm
Mitaa gan unapatkana
kange moja
Hawa wafuatao The Boss tabibumtaratibu Mafikizolo CYBERTEQ (tunawasilianaga tu kwa sim.i wish nkuone)
Ntakaribia siku moja
unakaribishwa sana....
miss chaga,charming lady,aspirin..
Mwana JF yeyote alioko Abu Dhabi tutafutane tafadhali kipaombele Kwa jinsia ya Kike