Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,352
- 22,958
Hadaa gani ?! Yaonekana umezoea maisha ya kuamriwa chochote hata kama ni haki yako. Hakuna haki inayosema Tz lazima itawaliwe na Ccm.Msitake kutuhadaa.
Hadaa gani ?! Yaonekana umezoea maisha ya kuamriwa chochote hata kama ni haki yako. Hakuna haki inayosema Tz lazima itawaliwe na Ccm.Msitake kutuhadaa.
Democrasia ipi wakati dani ya chama hamna democrasia? Monduli alipataje kugombea urais kupitia chadema? Mbowe ni mwenyekiti wa kudumu wa chadema, ukionyesha dalili za kutaka uenyekiti unapigwa chini, muulize Zitto, pia 2020 nasikia mmeshampitisha monduli.Mleta uzi uko mpuuzi kwa kutumia neno HUENDA . CDM wanachopigania ni democrasia halisi.
ipi? Ndivyo mnajua kujichanganya! Mlisema katiba ifuatwe, sasa mnasema demokrasia halisi, mkibanwa mtamalizia kusema tunataka maendeleo ili mkamilishe Chama Cha Demokrasia na Maendeleo! What is "democracy" sir?Mleta uzi uko mpuuzi kwa kutumia neno HUENDA . CDM wanachopigania ni democrasia halisi.
huko kwenye Demokrasia ndipo wataumbuka zaidi waache waje tu!Democrasia ipi wakati dani ya chama hamna democrasia? Monduli alipataje kugombea urais kupitia chadema? Mbowe ni mwenyekiti wa kudumu wa chadema, ukionyesha dalili za kutaka uenyekiti unapigwa chini, muulize Zitto, pia 2020 nasikia mmeshampitisha monduli.
sasa unataka itawaliwe na nani?Hadaa gani ?! Yaonekana umezoea maisha ya kuamriwa chochote hata kama ni haki yako. Hakuna haki inayosema Tz lazima itawaliwe na Ccm.
Sasa hakuna katiba inafuatwa ni mwendo wa swaga swaga twende .Huyu hafuati katiba yoyote katiba ni kichwa chake kama hayati karume.
Chadema mnakumbuka wakati wa Bunge la Katiba mlisusia Bunge hilo kwa madai Katiba inayojadiliwa ili ipitishwe ni ya CCM ambayo ni "mbovu na haifai" hadi mkaanzisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).
Chakushangaza leo hii mnakuja na Umoja wa Kupinga Udikteta (UKUTA) ambao unatafsiriwa kama kupinga uvunjwaji wa ile katiba "mbovu na haifai" ambayo mliikataa. Sasa hapa mbona kama mnajichanganya wenyewe? Kama mliikataa katiba na leo mnaitetea, vipi hamuoni mnakula matapishi? Hamuoni kama Raisi anafuata ile katiba ya Warioba na wanaopaswa kulalamika ni wale waliopitisha katiba inayotumika sasa?
Think well....
Tuacheni wananchi tuamue. Uchaguzi uliopita Chadema walishindwa kwenye sanduku la kura. Sasa wanataka kulazimisha ushindi. Hiyo ndio demokrasia wanayopigania?... Hakuna haki inayosema Tz lazima itawaliwe na Ccm.
Wanachosema cdm ni kuacha kuzibwa midomo kuanzia bungeni mpaka uraiani. Waachwe wafanye siasa zaoTuacheni wananchi tuamue. Uchaguzi uliopita Chadema walishindwa kwenye sanduku la kura. Sasa wanataka kulazimisha ushindi. Hiyo ndio demokrasia wanayopigania?
Hiyo midomo walijiziba wenyewe kwa kutumia karatasi.Wanachosema cdm ni kuacha kuzibwa midomo kuanzia bungeni mpaka uraiani. Waachwe wafanye siasa zao
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
Sasa wewe kupingana nawe najidhalilisha . Huelewi, au unafurahia kinachoendelea ama una maslahi binafsi.Hiyo midomo walijiziba wenyewe kwa kutumia karatasi.
huyu ni raisi wa HAPA KAZI TU na siyo raisi wa MAANDAMANO.Wewe ni chizi perce!
Tuondolee utumbo wako hapa.Hizi ni akili za aina ya watu kama kina MAKONDA!!!Katiba ya Warioba ni ipi na hii anayoikiuka Rais wako JPM kwa KUZUIA MIKUTANO NA MAANDAMANO ni ipi?
Rais wako aliapa kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT ambayo ndiyo imemweka madarakani inayoruhusu WATANZANIA KUWA NA UHURU WA KUKUSANYIKA NA KUANDAMANA!Leo JPM baada ya kuingia Ikulu tayari ameshalewa madaraka na kuanza kutunga Katiba yake kichwani!!!!
Kwa maana hivo JPM hatekelezi Katiba ya JMT wala ile Katiba pendekezwa waliyoikataa CCM kwa hofu ya kuja kuwaondosha madarakani!
Ukishindwa hoja ni lazima ukimbie.Sasa wewe kupingana nawe najidhalilisha . Huelewi, au unafurahia kinachoendelea ama una maslahi binafsi.
lazima awalinde wanyonge walionyanyasika na kutumiwa na wanasiasa kufanya maandamano, leo wamekuwa wabunge wengine miaka 20 iliyopita wanapokea mamilioni ila wale wananchi maisha yao bado ni ya chini na bado wanataka kuwatumia kwenye maandamano!mnapo sema makufuli anafuata katiba ya warioba. mnaweza mkute makufuli hata hiyo katiba haifahamu ni nini? na wala hata hajawahi kuisoma.
yule nayeye inaonyesha kuna watu wanamuendesha kwa remote kwasababu hata urais wenyewe inaonyesha alipewa kwa masharti. akiingia madarakani kwanza awalinde hao walio mpa urais na pili aufute vyama vya upinzani na saizi hilo lipo kutekelezwa kwa 100%
You can't be serious!!!! "Demokrasia halisi..." Ipiganiwe na chadema!!!!Mleta uzi uko mpuuzi kwa kutumia neno HUENDA . CDM wanachopigania ni democrasia halisi.
anawalinda wanyonge kivipi? wakati maisha kila siku yanazi kupanda bei na kilo moja ya sukari inauzwa hadi sh. 5000lazima awalinde wanyonge walionyanyasika na kutumiwa na wanasiasa kufanya maandamano, leo wamekuwa wabunge wengine miaka 20 iliyopita wanapokea mamilioni ila wale wananchi maisha yao bado ni ya chini na bado wanataka kuwatumia kwenye maandamano!