CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,917
kilimo cha shairi inataka umakini,tyming ya mda,vifaa bm tractor zako mwenyewe ikiwezekana na mashne yakuvunia ngano yakwako mwenyewe hapo unaweza ukafanikisha kilimo chake.kilimo hiki kinalipa ukilima km large scale ndyo inalipa.wapo wabongo wanaolima maelfu ya ekari ya shairi,ila wanavifaa vyao wenyewe km combine harvestar na matrekta na wanamudu kilimo bila tatizo
Yes, hiki kilimo si cha kulima heka tatu, kinataka uwe na capital ya kutosha kwa sababu kila kitu ni mechanization,