Ukulima wa shayiri(katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro)

kilimo cha shairi inataka umakini,tyming ya mda,vifaa bm tractor zako mwenyewe ikiwezekana na mashne yakuvunia ngano yakwako mwenyewe hapo unaweza ukafanikisha kilimo chake.kilimo hiki kinalipa ukilima km large scale ndyo inalipa.wapo wabongo wanaolima maelfu ya ekari ya shairi,ila wanavifaa vyao wenyewe km combine harvestar na matrekta na wanamudu kilimo bila tatizo

Yes, hiki kilimo si cha kulima heka tatu, kinataka uwe na capital ya kutosha kwa sababu kila kitu ni mechanization,
 
Shayiri nijamii flan iv ya ngano ambayo hutumika sana kutengenezea Pombe, zao hili lina uhitaji mkubwa sana apa nchini kwetu hasa kwa viwanda vya bia kama vile TBL and SBL, naomba mwenye uzoefu katika hili atupe taarifa kutokana na maswali yafuatayo
1.Jins linavyo limwa
2.Gharama zake za kulimia,na kuuza pia
3.Na upatikanaji wa ardhi ya kulimia hasa katika mikoa niliyo itaja

Naomba kuwasilisha mada

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

garama yakulima kukodi 100,000 kulima 40000 mbegu unapewa na kampuni,kupiga harow 30,000 dawa yakutu lita7000 dawa ya majani 5000,kuvuna 40000 total 222000.pato lako nigunia 15 eka.nakila gunia 90000 shambani.unatakiwa ulime eneo kubwa ili upate faida kubwa.HYO NI BASUTU MANYARA
 
KUNA OPTION NYNGNE HAPO HAPO BASUTU NAFCO,kampuni inakupa kila ki2 ila ww unalipa kodi ya shamba ww unakuwa msimamizi,ukivuna unawauzia wao.wanakata garama yao baki yako wanakupa
 
Unaweza tafuta aridhi mikoa mingine mkuu kwa sababu hata Iringa inalimwa, na Sumbawanga kama sikosei, inapenda sana sehemu za Baridi so jaribu maeneo yenye baridi kari hapo unaweza pata shamba ila kwa mikoa ya Arusha, kilimanjaro na Manyara ni vigumu sana labda ya kukodisha ila ya kutosha kabisa kilimo kikubwa hayapo. ni kweli huwa haitoshelezoi na wanaagiza kutoka South Africa au hata huko URUSI ambako ndo ipo ya nyingi

maeneo yapo hata ukitaka eka alfu moja ila kukodi tu,kununua ni ishu bei ni kubwa.mikoa mengne huwezi kulima ngano large scale itakupa shda otherwise uwe na mashne combine harvestar na matrekta unaweza kumudu kulima
 
garama yakulima kukodi 100,000 kulima 40000 mbegu unapewa na kampuni,kupiga harow 30,000 dawa yakutu lita7000 dawa ya majani 5000,kuvuna 40000 total 222000.pato lako nigunia 15 eka.nakila gunia 90000 shambani.unatakiwa ulime eneo kubwa ili upate faida kubwa.HYO NI BASUTU MANYARA

Samahan mkuu ukisema mbegu unapewa na kampuni, watu watajua ni bure hapana. Unapewa mbegu kama mkopo utakapovuna wanak gunia zao za mbegu.
Na usiwadanganye watu Basutu ili upate gunia 15 umeenyeka kweli kweli, katika 100 wawili ndo wanaweza pata hizo gnia na si shamba lote linatoa uiano huo,
kuna viraka vingine hata mbili hupati.
 
Na kwa basutu si kweli kwamba gunia ni 90,000 shambani, inategemea na ubora wa shairi yako, unaweza ambiwa hata gunia ni 60,000
Isitoshe wanaonunulia shamban ni madalali, na hii inatokea pale mkulima analima lakin hana mkataba na hawa jamaa wa bia, kama unamkataba nao mara nyingi unapeleka Arusha NMC ndo magodown yao yalipo na bei huwa zinapangwa hapo.
kama moischa ni mbaya pluz umevuniwa vibaya pluz mambo mengine aiza mbegu ndogo hazina ubora inakula kwako
 
Unacho sema ndo ukweli, ngano si mchezo unaweza lima na ikaishia kuozea ndani, bei inategemeana na ubora wa hiyo shairi, kama imejaa uchafu ndo basi,
 
Samahan mkuu ukisema mbegu unapewa na kampuni, watu watajua ni bure hapana. Unapewa mbegu kama mkopo utakapovuna wanak gunia zao za mbegu.
Na usiwadanganye watu Basutu ili upate gunia 15 umeenyeka kweli kweli, katika 100 wawili ndo wanaweza pata hizo gnia na si shamba lote linatoa uiano huo,
kuna viraka vingine hata mbili hupati.
nimesema mbegu unapewa na kampuni kwa maana ya kurudisha mfano wakikukupa mbegu gunia 5 unarudisha gunia kumi.afu kingne suala la kupata pato ndogo ni ww na huduma zako.nitakupa mfano huu kuna mama amelima ekari 600 katika hzo ekari 80 alichelewa kupanda kwa hyo hzo 80 amekula hasara japo amehudumia ipasavyo.mara nyng kilimo ndyo utakavyohudumia na tyming ya mda wake ndyo chakuzingatia.
 
Na kwa basutu si kweli kwamba gunia ni 90,000 shambani, inategemea na ubora wa shairi yako, unaweza ambiwa hata gunia ni 60,000
Isitoshe wanaonunulia shamban ni madalali, na hii inatokea pale mkulima analima lakin hana mkataba na hawa jamaa wa bia, kama unamkataba nao mara nyingi unapeleka Arusha NMC ndo magodown yao yalipo na bei huwa zinapangwa hapo.
kama moischa ni mbaya pluz umevuniwa vibaya pluz mambo mengine aiza mbegu ndogo hazina ubora inakula kwako

Ubora Wa Shairi Ni MATUNZO NA MBEGU BORA na c vingenevyo.ndyo mana kampuni ikamua kutoa mbegu yao mwenyewe.matunzo duni unaweza kutoa shairi chni ya kiwango.C MASHAMB YOTE YANATOA UWIANO WOTE YAPO YANAYOTOA 17 15 13 HADI 7 YOTE YANATOKANA NA UBORA WA ARDH NA MATUNZO YAKO NA TYMING YA MDA.ndyo mana ukilima ekari 100 ukafanya makadirio kwa kila eka utakuta umetoa gunia 15 au less of 15.KUPENDA NA UMAKINI KTK KAZI YAKO NDYO KUFANIKISHA KUPATA KIPATO KIZURI
 
Na kuna taarifa nimeisoma apa kenye magazine ya TBL wana sema wakulima wa shairi ktk mikoa ya Arusha na Kilimanjaro wana nufaika na zao hilo kwa kuweza kujenga nyumba za kisasa na zenye umeme wa solar pamoja na Tanesco.

Sasa sijui ni kweli
 
na kuna taarifa nimeisoma apa kenye magazine ya tbl wana sema wakulima wa shairi ktk mikoa ya arusha na kilimanjaro wana nufaika na zao hilo kwa kuweza kujenga nyumba za kisasa na zenye umeme wa solar pamoja na tanesco.

Sasa sijui ni kweli

wakulima wa shairi mara nyng ni watu wenye mitaji yao mikubwa.mitaji midogo inasumbua sna kwenye kilimo cha shairy.
 
na kuna taarifa nimeisoma apa kenye magazine ya tbl wana sema wakulima wa shairi ktk mikoa ya arusha na kilimanjaro wana nufaika na zao hilo kwa kuweza kujenga nyumba za kisasa na zenye umeme wa solar pamoja na tanesco.

Sasa sijui ni kweli

wakulima wa shairi mara nyng ni watu wenye mitaji yao mikubwa.mitaji midogo inasumbua sna kwenye kilimo cha shairy.wanavyosema hvyo inamana tayari hao wakulima wanamitaji na wamekuza mitaji zaidi hapo.kwhyo nyumb bora c ki2 cha ajabu kwao
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom