sir mushi
Senior Member
- May 26, 2013
- 143
- 52
mimi ni kijana wa miaka 21, tatizo langu uume wangu ni mkubwa kiasi kwamba kila nikikutana na demu wangu anashindwa kufurahia tendo hilo, huyu ni demu wa 5, ambao wanne tumeachana nao kutokana na mashine yangu kuwaumiza, huwa najaribu kusex nao polepole ila wanalalamika sana, mwanzoni nilifikiri nimejaliwa kumbe sasa ni majanga,hasa sijui nifanyeje wakuu maana hata huyu manzi niliyekuwa nae anataka kuniacha, naombeni msaada wenu..