Ukubwa wa mashine yangu wawa karaha.

sir mushi

Senior Member
May 26, 2013
143
52
mimi ni kijana wa miaka 21, tatizo langu uume wangu ni mkubwa kiasi kwamba kila nikikutana na demu wangu anashindwa kufurahia tendo hilo, huyu ni demu wa 5, ambao wanne tumeachana nao kutokana na mashine yangu kuwaumiza, huwa najaribu kusex nao polepole ila wanalalamika sana, mwanzoni nilifikiri nimejaliwa kumbe sasa ni majanga,hasa sijui nifanyeje wakuu maana hata huyu manzi niliyekuwa nae anataka kuniacha, naombeni msaada wenu..
 
Tafuta mwenye kubwa mwenzio.... Au tafuta aliyekubuhu kwenye fani hiyo na uwe naye..
 
Utakuwa ujui kumuandaa mwenzio. Navyojua hakuna mashine kubwa kwa papuchi! Ile kitu ni elastic na ndio maana kichwa cha mtoto mchanga kinapita kiulaini then inajirudi sawasawa. Inavyoonekana wewe unapapara a.k.a Jogoo. Is unajua jinsi gani jogoo huwa anaparamia mtetea? Sasa kwenye mapenzi ya binadamu kuna formula zake ambazo wewe huenda bado uzijui!
By the way ukiona demu anakuacha sababu ya rungu lako kubwa hiko kina kuwa ni kisingizio tu. Sababu zinakuwa ni nyingine kabisa kaka!
 
Ni kweli,kukusaidia wako wanawake waliokubuhu,wanahitaji kama yako,wale wenye kusex na chupa ya bia,na vitu vikubwa,tatizo litakuwa ni kipata watoto tu,maana kizazi kitakuwa kimeharibika,ila atafurahia mashine yako na wote mtawezana,wewe jaribu kutembelea kwenye manight club,kwa macheni magomeni au kwenye mitandao utampata anayekufaa,usikate tamaa,huyo uliokuwa naye akikuacha,sasa itakubidi ifuate.ushauri huu,hakuna.namna
 
Mnapoteza muda mchangia mawazo huyu mwenye ndoto za kuwa shigongo,hii stor katung tu Apate wadau tuuu,,,poor Mushi
 
Hakuna mshine kubwa hisiyoweza kuingia na kumfiksha mwanamke sena wanawngi cku hizi wnamatatizo yq kukosa ute wa kusababisha uterezi may b ktka na stress zimekuwa nyingi au matatizo mengine pia wanaume wamekosa star hawajui kuwafikisha vimada wao kwa romance.mimi nakushauri uwe mjanja kwa romance mpaka maji yawe mengi na pia si lazima uwe unatumbukiza yote,ukiona tatizo bado nunua ky jelly for more lubricant.by the kama haujaoa si lazima ufanye ngono oa kijana.
 
Mwache aendelee kutafuta size yake asije akakimbiwa na mke.
 
mimi ni kijana wa miaka 21, tatizo langu uume wangu ni mkubwa kiasi kwamba kila nikikutana na demu wangu anashindwa kufurahia tendo hilo, huyu ni demu wa 5, ambao wanne tumeachana nao kutokana na mashine yangu kuwaumiza, huwa najaribu kusex nao polepole ila wanalalamika sana, mwanzoni nilifikiri nimejaliwa kumbe sasa ni majanga,hasa sijui nifanyeje wakuu maana hata huyu manzi niliyekuwa nae anataka kuniacha, naombeni msaada wenu..

PROMO at work
 
ikate uipunguze
 
Mie bwana hii mijitu inayojisifiaga kuwa na mi nanilii mikubwa huwaga naishangaa. Wenye pipe zao za maana wamekaa wametulia.
Haka kajitu ka 21 years kisa kametembea na tubinti tutano tu kanajidai nako kamo.
Pipe Si saizi dogo. Ni utumiaji.
 
Back
Top Bottom