Ukubwa wa mashine yangu wawa karaha.

Ukubwa wa mashine yangu wawa karaha.

Mie bwana hii mijitu inayojisifiaga kuwa na mi nanilii mikubwa huwaga naishangaa. Wenye pipe zao za maana wamekaa wametulia.
Haka kajitu ka 21 years kisa kametembea na tubinti tutano tu kanajidai nako kamo.
Pipe Si saizi dogo. Ni utumiaji.

Thats my girlie...
 
kwani umetumia zile dawa za wale jamaa wa nyanda za juu kusini au kongo?
 
Kweli JF imevamiwa na watoto wa facebook. Mpaka shule zitakapofunguliwa tutakuwa tumesoma mengi humu.
 
mimi ni kijana wa miaka 21, tatizo langu uume wangu ni mkubwa kiasi kwamba kila nikikutana na demu wangu anashindwa kufurahia tendo hilo, huyu ni demu wa 5, ambao wanne tumeachana nao kutokana na mashine yangu kuwaumiza, huwa najaribu kusex nao polepole ila wanalalamika sana, mwanzoni nilifikiri nimejaliwa kumbe sasa ni majanga,hasa sijui nifanyeje wakuu maana hata huyu manzi niliyekuwa nae anataka kuniacha, naombeni msaada wenu..
Soma, futa, delete kabisa.
 
Mashine kubwa ni relative term. umelinganisha na papuchi ipi kwani, yaani watano tu unaconclude..!
 
huyu mto mada huwa ananiboa sana na topic zake za uongo
 
R u kapuyer?? Tafuta 18+ hautakimbiwa 😉
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom