Quimica
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,029
- 1,254
Aiseee hatari na nusu, kama juzi hapa niliandika thread kuwa mwanamke wangu anaolewa kumbe nimeepushwa na Mambo ya hatari ambayo nimeyafahamu baada ya mfanyakazi mmoja wa kazini kwa binti kutoa wazo la kwenda kwa Shehe maana Binti hata hapo kazini kwao hawakuelewa kilichomtokea.
Sasa majibu yakaja kumbe ile siku Nimelala na binti nakumtoa bikra, kuna jamaaa ambaye ndo huyu anayemuoa , kumbe jamaaa hakukata tamaaa na pia ni dereva wa mafuso japo alijua nimelala na Binti na kumbe alikuwa anamfatilia binti toka Miaka Mitano nyuma niligundua baada yakupitia Facebook ya manzi nkakuta comment za jamaa za zamani na walisoma wote sekondar huko Tanga, alichokifanya nikushirikiana na bamdogo wabinti kumloga Binti na kumfunga kwenye chumba Ambapo halikuwa hawezi kuondoka na kazini akaacha kwenda.
Kumbe baada yakwenda kuangalia kwa mashehe Kumbe binti amefungwa kwao ni wachawi balaaaa, yaani na amechanjwa kila kona ili anisahau kabisa na amefutwa Kumbukumbu zangu zote imagine hata ya mimi kusex nae binti amebisha katukatu na kuna picha nilimtengenezea ya A3 anasema sio mimi nimemtengenezea het ni mchumba wake huyo kamtengenezea.
Yaani binti kumbe anachezewa na Kwao huko ikiusishwa bamdogo wake, bibi yake, mama pamoja na dada yake.
Duh nimejifunza kuwa kabla hujafanya maamuzi yakuoa embu hakikisha unafahamu background ya Familia.
Imagine mpaka Shehe anakwambia Huyo ata akija kuwa mke wako tukamfungua sasa hivi atakutesa sana na familia yake itakusumbua mno, yaani amefungwa na uchawi wa asili.
Ni ngumu sana kumbadilisha mdada wa mtaaani hata marafki zangu na mabrother walikuwa wananiambia She belongs to the streets nikazan ntaweza kumbadilisha.
Tanga ni noma. Ukiwa na binti mchunguze vizuri na background yao ni ya muhimu sana.
Kuna voice notes siwez kuziweka hapa ila Watu wabaya sana. Baada ya shehe kumsalia kinamna ndo akawa anaweza kuongea ilikuwa hapokei simu wala namba ngeni yeyote.
Shehe akasema binti amefungiwa kwenye Chumba na kuna hirizi zimewekwa hawezi kutoka, na kwel kuna rafk yangu alikuwa anachat nae Akawa anasema hawez kutoka alipo na ukiangalia video zake za tiktok amekuwa anapost yupo ndani ya chumba kimoja Hata kazini haendi wanamtafuta.
Duh Noma Sana. Tanga hatar Nasisitiza tuchunguze watu kabla yakuwa nao kwenye ndoa, shee anasema binti anateswa balaaa Ndo hvyo hawez kufanya chochote anavumilia.
Inaniuma kama mtu niliyekuwa na malengo nae ila Nature imekataaa Siwez kukubali Baadae mtoto wangu anateswa na kwao au ndo yale mwanamke anasababishwa asishike mimba.0
23 years Ni umri mdogo sana lakin Nimefahamu kuwa binadamu wabaya !ukiona mtu kabadilika Ghafla embu jaribu kufatilia sometimes sio akili zao nina Ndugu yangu mmoja na yeye alikuwa na mume wake mpaka walianza kujenga mara paap mume anampigia simu anamwambia sirudi tena kwako na walikuwa na Watoto, baada ndo alikuja kufatilia na kugundua kuwa mume alilogwa na binti Muuza Uji ambaye alikuwa ananunua Uji maana mume ni Muendesha malori ya safari za mpaka Congo, Witchcraft is Real
Mshana Jr utie neno mkuu.