Ukristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukaliwa wale watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu

Dah Hapa ndo nimeamini kuwa upeo wako ni mdogo Sana wa kufkiri (Samahni sana kwa kukwambia hilo)

Katika maelezo uliyoya 'Quote' umeona kuna Neno Allah au kuna neno Uislamu umeona nimeeleza kuhusu uhusiano wa uislamu na ukristo..

Sasa nimeanza kugundua ni mtu wa aina gani naongea naye kifupi mkuu hujui lolote na ingependeza mbele za watu kama hapa unyamaze tu kwa sababu kuna muda unajiabisha wewe pamoja na wazazi wako!

Point of correction Uislamu umekuja Duniani Mwaka 622..
Ukristo ulikuja Duniani mwaka 116-118 kipindi cha utawala wa kaisari Trajan..
Kwahiyo uislamu ulikuja duniani Miaka 500 baada ya ukristo..

Hata hivyo kwa afrika na afrika mashariki ni tofauti..
Uislamu ulikuja mwaka 710 kipindi cha utawala wa ukoo wa Ban Abbasi kwa lengo la kufanya biashara ikiwemo biashara ya utumwa..
Huku ukristo umeanza kuja miaka ya 1800s na Missionary wa kikoloni...
Kwahyo kwa Afrika na afrika mashariki uislamu ni mkongwe kuliko ukristo kwa takribani miaka 1100

Mkuu Uislam haukuja kwa mgongo wa biashara ya UTUMWA,may be useme waarabu..kwa sababu waarabu wamekuwa na biashara ya utumwa hata huko kwao kabla hata ya uislam kufika na kusambaa..

MIONGONI MWA MASHARTI YA UISLAM WAKATI UNASHIKA HATAMU MIAKA HIYO NI KUWAACHIA HURU WATUMWA,INAWEZA VIPI KUWA NI DINI YA HAKI KISHA ITOE SUPPORT KWENYE BIASHARA YA WATUMWA??

WAARABU WALIOLETA DINI NA WAARABU WALIOAMINI KATIKA BIASHARA YA UTUMWA NI VITU VIWILI TOFAUTI.KUMBUKA KUWA MUARABU SIYO KUWA MUISLAM,UISLM MAANA YAKE NI KUJISALIMISHA MOJA KWA MOJA KWENYE SHAERIA ZA MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI KWA KUFUATA MAAMRISHO YAKE NA KUACHA MAKATAZO YAKE.
 
Mkuu Uislam haukuja kwa mgongo wa biashara ya UTUMWA,may be useme waarabu..kwa sababu waarabu wamekuwa na biashara ya utumwa hata huko kwao kabla hata ya uislam kufika na kusambaa..

MIONGONI MWA MASHARTI YA UISLAM WAKATI UNASHIKA HATAMU MIAKA HIYO NI KUWAACHIA HURU WATUMWA,INAWEZA VIPI KUWA NI DINI YA HAKI KISHA ITOE SUPPORT KWENYE BIASHARA YA WATUMWA??

WAARABU WALIOLETA DINI NA WAARABU WALIOAMINI KATIKA BIASHARA YA UTUMWA NI VITU VIWILI TOFAUTI.KUMBUKA KUWA MUARABU SIYO KUWA MUISLAM,UISLM MAANA YAKE NI KUJISALIMISHA MOJA KWA MOJA KWENYE SHAERIA ZA MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI KWA KUFUATA MAAMRISHO YAKE NA KUACHA MAKATAZO YAKE.
HII PROPAGANDA ALLAH AMEWAINGIZA CHAKA ASILIMIA 100%
IMEFELI
 
ASHAFELI HUYO
SABABU HAKUTUMIA AKILI KUANZISHA HII PROPAGANDA.
YEYE ALIDHANI WAKRSTO NI WATU WA KUACHA MAPOKEO YAO KIRAHISI RAHISI TU.
NB: WAKRSTO WAPO DEEP NA MAPOKEO YAO HAWAYUMBISHWI

teh teh teh,sasa upo deep kivipi??

Nakuuliza unasema mungu wako ni yesu,pia maria mtakatifu ni mama wa mungu wako yesu,je baba wa mungu wako yesu ni nani??
 
HII PROPAGANDA ALLAH AMEWAINGIZA CHAKA ASILIMIA 100%
IMEFELI
Was the Bible used to colonize Africa?


The missionaries are also alleged to have used the Bible as a tool to colonise the minds of the Africans (Dube 2000:4). It is argued that the Bible was presented in such a way that it painted everything associated with African practices as pagan in order to promote

teh teh teh
 
MKUU HII PROPAGANDA IMEFELI.
MAHABA YA WAKRSTO KWA WAYAHUDI YANAUNGANISHWA NA MUNGU WA KIYAHUDI YEHOVA.
NB: MSHAURI ALLAH ATAFUTE MBINU NYINGINE HII AMEFELI 100%
Huwa sijibizani na watu wasiojitambua hii ni Hoja ya mwisho kutoka kwangu kuja kwako...NA HII ndo hitimisho la mjadala wangu na wako...
Nakupa ushauri mdogo wangu kuwa..
  • Usitoe Taarifa endapo hujui chochote kuhusu Taarifa hiyo, kwa sababu si kila mtu utakayempa taarifa hiyo ni Mtu asiye ielewa, Pengine ndiye chanzo cha hiyo taarifa!
  • Usipende kusema uongo kudanganya ili ufanikishe Jambo lako uongo humla mtu na huwa haachi mpaka atakapokufa kwa sababu uongo ili kuufunika unahitaji uongo mwingine...
    • Mfano umedanganya kuwa Ma Rabbi wanaupenda ukristo na nikakupa challenge ndogo tu kuwa Nitajie Rabbi anayesifia ukristo hata mmoja tu (hukuweza kufanya hivyo bali ulikuja na majibu yenye speculation zako eti huwezi kufanya hivyo kwa sababu sjui ninj tantalila lila kibao..
    • Ukawa unalezea Judaism as if unaijua sana na kutaja vitu vya uongo kuhusu Judaism nikavutiwa nikasema hebu nisikilize maana Umetaja kuijua dini yangu ya Zamani maybe ukanivuta nikaona hola! nilipokuambia kuwa mimi nimewahi kuwa judaism na kuishi herzliya na nikakupa mifano iliyohai.. ukaja na Uongo kuwa wewe pia ulikuwa unaishi Tel aviv ila hukuwahi kufika Herzliya ila Mdhamini wako anaishi huko ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…......Kwa Taarifa yako Herzliya na Tel aviv ni karibu sana na zaman herzliya ilikuwa ni mji mmoja na tel aviv ..
    • Ukaja kusema unajua kuhusu ibada za Uyahudi na wewe unaswali kila siku cha ajabu ulishixnwa kutaja hizo ibada ni zipi na zinafanywaje ila kuonyesha kuwa nazijua nilikukosoa na kukuweka sawa
    • Kwakuwa ulishindwa kwa hoja ukaanza kunisigizia na kuniweka kwa kundi nisilolijua ...
  • Sasa nakushauri Jitahidi usome sana kuhusu Dini hasa hiyo dini yako MAANA UKO CHAKA VIBAYA MNO, KUKOSA KWAKO UWEZO WA KUJENGA HOJA NA WA KUTETEA KUNA ONYESHA HIVYO
  • Soma Comperative Religion ni course kwenye Theology,
  • Soma kuhusu philosophy na sana sana soma kujifunza jinsi ya kujenga Hoja..
NA KAMA UNATAKA KUWA JEWZ (JUDAISM) MUDA BADO UNAO MAAN unaoneka. Bado kijana kwahyo
  • Soma kuhusu judaism jikite katika kujifunzs mfate Rabbi yoyote akufundishe uelewe...
  • Sio lazma uwe myahudi au ufate kila kitu kuna Meshianic jews ambao wanaamini kuhus Yesu na meshia wengine kama Simon bar kokhkba
  • Usipendd kubishana kama huna elimu yoyote

ื”ื ื”, ื”ื’ืขืชื™ ืขื“ ื›ืืŸ ื”ื™ื•ื, ื›ื™ ืื ื™ ืจื•ืื” ืฉืื ื™ ืžื“ื‘ืจ ืขื ื™ื”ื•ื“ื™ ืฉืื™ื ื• ื™ื•ื“ืข ืืช ื”ื™ื”ื“ื•ืช. ื”ื•ื ื™ื”ื™ื” ื™ื”ื•ื“ื™ ื‘ื•ื–ื”, ื›ื™ ื”ื•ื ืื™ื ื• ื™ื•ื“ืข ืืช ื”ืื™ืกื•ืจื™ื ื”ื™ื”ื•ื“ื™ื™ื ืื• ืืช ื”ืชืคื™ืœื•ืช.

ืฉืœื•ื ืœืš, ืื“ื•ื ื™. ืฉืœื•ื ื”ืืœ ื™ื”ื™ื” ืื™ืชืš.
 
Jisemee tu ukweli kwamba waabudu miungu ya kiarabu wakishika dunia hii tutapoteana hapo lazima Yehova ashuke duniani kuwakomboa watu wake.hawa jamaa ni makatili na wauaji vby mno
 
Back
Top Bottom