Ukraine waanza maandalizi ya wapiganaji milioni moja ili kutwaa miji ambayo Urusi aliambulia

Watu wamejipanga toka kuvunjika kwa Soviet mpaka leo, halafu mtu aanze kujiandaa sasa hivi na ashinde vita? We nae unakuaga kama kiazi

Kama aibu ambayo imemkuta hapo Kyev ndio kujiandaa alikokua anajiandaa miaka yote, basi dah ameisha aisei...
 
Putin amechimba mikwara kibao sijui Finland na Sweden wakijaribu kujiunga na NATO tu atawasambaratisha vibaya.

Kiko wapi tayari Finland na Sweden wameshaweka mguu mmoja ndani ya NATO bado kukamilisha tu uanachama kamili. Kafanya nini Russia?
Hem kunywa maji yakutosha kwanza MKUU halaf uendelee kuandika
Enhee ulikua unasemaje!!!??
 
hao Marekani na wengine wote bado hawajatia mguu pale, kwa kweli mpaka sasa nashangaa sana hawa hawa Urusi niliowaogopa miaka yote ndio wamelizwa na kainchi kadogo saizi ya mkoa wao mmoja mpaka wanaita reserves, wamepoteza zana zaidi ya zilivyomilikiwa na majeshi yote ya EAC na wameambulia tumiji twa mipakani.
Mkuu kwa ninavyofahamu comments zako naamini ni mwerevu na mchambuzi mzuri.

Lakini hii ya kujaza ushabiki kwenye posts zako za hivi katibuni ni kujishusha sana.

Tuiangalie vita na makandokando yake. Kuna mambo hayapo sawa na wanaoumia ni civilians
 
Jadili hoja wewe niache, namjibu kila mtu anavyokuja, ukinijia kwa heshima nitajiweka kwa kiwango chako, ila ukinijia kwa vijembe nashuka na wewe huko huko, hivi vita watu wamejitoa ufahamu wengine wanapelekeshwa na mizuka ya kidini eti kisa unachukia Marekani sasa kila ukiona uzi umeanzishwa unaomsema vibaya Putin lazima uje na vijimambo vya hovyo.
Hivi vita hata ofisini na hata huko Quora naendana na kila anayenijia kulingana na ujio wake, watu wa hiyo dini yenu kwa chuki za Marekani wamejitoa ufahamu kabisa hawaambiliki kitu, ofisini na kote, hata kule Quora ukiona jina Ahmad sijui Abdalla anatiririka pumba na kuomba Ukraine wauawe mpaka kizazi kifutike.....wana hasira hata kumzidi Mrusi menyewe.
 
Ni kama unabitishia ili nikuhofie.

Bdae
 
Kwani iko mikononi mwa nani sasaivi, ulikua ni mtego wa panya walichofanyiwa pale hawatosahau

Hamna cha mtego wala nini, ni aibu sana kwa supapawa kuhangaika kwa namna hii, kainchi kadogo kamemshinda kufumua....
 
Hayo masilaha yamemtesa sana Urusi, alifoka siku za kwanza eti sijui atapambana na yeyote atakayempa kraine silaha, sasa hivi zinaendelea kushushwa Ukraine na kumtesa, yeye ameingia hasara zaidi ya inventory yote ya JWTZ ili tu kuteka tumiji twa huko mipakani.
Mzee unaonekana unalipenda "la ulinzi wa Wananchi" haukosi kulitaja kila wakati, nini tatizo?
 
Ndoto za mchana hizi,siku hivi Vita ni technology, we lete wanajeshi bil 1,unatumiwa ka mashine kadogo tu kanawasambaratisha wote!!

Halafu Leo ndo nimejua kuwa ww ,hujui chochote kuhusu technology in military!! kijana haya Mambo waachie wazee wa battle ,utakuja kuaibika bule.
 
The Ukrainian military drove mothers and their newborn babies out of maternity hospitals in Odessa Region in southern Ukraine, while medical staff tried to stop them and were assaulted, the Russian Defense Ministry claimed on Wednesday.

In the settlements of Dobroslav and Krasnoselka of the Limansky district in Odessa Region, Ukrainian militants use hospitals and ambulance stations as command posts and barracks. At the same time, all the patients, regardless of their health condition, as well as maternity ward patients and their newborn children, were ruthlessly kicked out of medical institutions, while medical staff who tried to prevent the neo-Nazis’ cruelty suffered from physical violence,” Mikhail Mizintsev, the head of Russia’s National Defense Control Center, said.

He added that the Ukrainian armed forces set up barracks, firing positions, and ammunition depots in a clinic in Ugledar, Donetsk People’s Republic, with heavy weaponry, artillery, and mortars stationed nearby.

Mizintsev urged international organizations, including the World Health Organization, to influence Kiev to put an end to the use of medical facilities for military purposes.
====
Achane kuua wazazi na vichanga!!!Hizi damu mnazimwqga zitawatafuna!
 
Maridhiano yapi na adui ambaye alikuja na nia ya kuiteka nchi yake, kaja mpaka mji mkuu na kufyatuliwa akaambulia kuteka tumiji twa huko mipakani, hamna cha maridhiano hadi afe raia wa mwisho Ukraine, wapigane hadi wa mwisho.
Siku ile Putin anatangaza vita kuanza niliogopa sana nikadhani ndani ya siku tatu Ikulu ya Kyiv inatekwa. Kulikuwa na msafara wa km 64 wa vifaru na gari vita nyingine. Mbaya zaidi ilikuwa ni vita ilianza bila Ukraine kuwa amejiandaa kwa lolote. Putin akapiga biti kuwa ili askari wa Ukraine awe hai, aweke silaha yake chini, na amkamate Rais wa Ukraine ili akabidhiwe kwa Urusi. Javelin zilipokuja za kutosha, vifaru ikaonekana ni vilaini kama matikiti maji. Mwishoni askari wa Urusi wakavua uniforms, wakakimbia wakaacha vifaru.
Kitakachoisumbua Ukraine ni kuwa, Urusi ina askari wengi na pia wamezoea kufa wengi kwenye vita.
 
RUSSIA TAIFA TEULE
Huo ukweli haupingiki MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom