bomgo
Senior Member
- Mar 4, 2015
- 185
- 35
Nitaendelea kuiazama itv kwa maisha yanguyote hapa duniani kuliko li tbc,☆tv,mawingu tv
Hata hivyo ni tv yako wewe si mchaga
Nitaendelea kuiazama itv kwa maisha yanguyote hapa duniani kuliko li tbc,☆tv,mawingu tv
Hata hivyo ni tv yako wewe si mchaga
hahaha itv is the super brand no one tz akina tbc wajipange upyaaaaa
Azam haijaanza kurusha leo matangazo na wana safari ndefu ya kuipiku ITV! AZAM wakijikita kwenye ubora wa kuonesha mpira na kuchambua hasa Ligi kuu watafanikiwa!Wana hitaji kuwa na ubunifu wa kuandaa vipindi na watangazaji wenye weledi zaidi!
Kama suara ni ukabila huyo mkurugenzi wa tbc ni kabira gani?
Hata hivyo ni tv yako wewe si mchaga
aliyewapandikiza chuki na wivu jumlisha ubaguzi kwa watanzania alifaulu hakuna dhambi mbaya duniani kama ubaguz ni haki wazungu kuturushia ndizi ikiwa sisi wenyewe waswahili tunabaguana.