Mapengo 17
R I P
- Mar 28, 2014
- 1,228
- 618
Asubuhi EATV waliweka habari kwamba Singida kuna ajali (Taarifa ambayo ilikuwa sio kweli) baadae wakaiondoa,
Pia wanasema alithibitisha habari hiyo ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida, Godfrey Kamwela, huyu RPC si amehamishiwa Kilimanjaro toka mwaka jana?
Sasa mda huu tena naangalia ITV walichokipost kwenye ukurasa wao wa FB wamesema Warioba leo ndiye anayeongea wakati huo huo wameweka picha ya Zitto Kabwe, "3:05 USIKU Kutana na mtangazaji wako Emmanuel Buhohela katika DAKIKA 45 akiwa na Mh.Jaji Joseph Warioba wakijadili sifa za kiongozi ajaye katika uchaguzi mkuu wa 2015 na Je,wakati umefika kwa vyama vya upinzani kuchukua madaraka?."