Ukosefu wa umakini ITV na EATV utawagharimu

Ukosefu wa umakini ITV na EATV utawagharimu

Au platnum yoyote ni lazima iwe Diamond??isije kua sisi ndio hatuelewi?
 
Serious mkuu kama unaweza kucheck kwenye internet utaiona nilikua makini sana kumsikiliza nikahisi labda mimi ndio silijui hilo jina mpaka leo asubuhi nilicheck magazeti ya michezo mapema tu ili niangalie hilo jina kama ni diamond plutnumz au fc plutnumz!!
Hata mie nilishangaa sana kuona habari ile eti diamond platnumz fc hahaha kweli kitenge pengo lake linaonekana
 
natabiri AZAM TV kuwa ndio ITV mpya muda si mrefu
 
Wamebaki vilaza siku hizi...majembe yameshaondoka
 
Hata mm nilishangaa..Diamond platnum waliitaja kabisa bila kupepesa..haahaaaaaa
 
Wamebaki vilaza siku hizi...majembe yameshaondoka

Teh Teh Mkuu wewe ni muongo hizo TV station bado zina watangazaji wengi mahari huo ndio ukweli na hazijawai kupungukiwa maana wanajua kuwaandaa! hizo ndio TV station za kuzalisha watanzaji bora kila leo! Makosa ya umakini hayo ni ya mtu anaye husika na mitandao ya kijamii.

Ni kweli hili tatizo linapaswa kutazamwa maana linaweza wasababishia adhabu lakini kusema wana watangazaji vilaza ni kujidanganya maana ukweli unaonekana.
 
natabiri AZAM TV kuwa ndio ITV mpya muda si mrefu

Azam haijaanza kurusha leo matangazo na wana safari ndefu ya kuipiku ITV! AZAM wakijikita kwenye ubora wa kuonesha mpira na kuchambua hasa Ligi kuu watafanikiwa!Wana hitaji kuwa na ubunifu wa kuandaa vipindi na watangazaji wenye weledi zaidi!
 
Mkuu acha masihara!!yani akasema Diamond platnum kabsaa!!!

mimi pia nilisikia sasa na hivi mpira umenipita pembeni kidogo nikabaki kusema mbona diamond kakopi jina la timu
hadi alivyokuja hubby nikamuuliza timu inaitwa diamond plutnumz akacheka kweli na kujua nimetunga
 
ni kweli kabisa Sebastian Kolowa alikuwa anatamka Diamond Platnums tena sio mara moja alirudia kama mara mbili hivi, nilishangaa sana kusika hivyo lakini ndio watangazaji wetu hao n

si yeye tu hata yule aliyeanza na muhtasari wa habari/vipashio alitamka diamond plutnumz
 
Hahaha ITV IS THE SUPER BRAND NO ONE TZ akina tbc wajipange upyaaaaa
 
Asubuhi EATV waliweka habari kwamba Singida kuna ajali (Taarifa ambayo ilikuwa sio kweli) baadae wakaiondoa,

Pia wanasema alithibitisha habari hiyo ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida, Godfrey Kamwela, huyu RPC si amehamishiwa Kilimanjaro toka mwaka jana?

attachment.php




Sasa mda huu tena naangalia ITV walichokipost kwenye ukurasa wao wa FB wamesema Warioba leo ndiye anayeongea wakati huo huo wameweka picha ya Zitto Kabwe, "3:05 USIKU Kutana na mtangazaji wako Emmanuel Buhohela katika DAKIKA 45 akiwa na Mh.Jaji Joseph Warioba wakijadili sifa za kiongozi ajaye katika uchaguzi mkuu wa 2015 na Je,wakati umefika kwa vyama vya upinzani kuchukua madaraka?."

attachment.php
Nitaendelea kuiazama itv kwa maisha yanguyote hapa duniani kuliko li tbc,☆tv,mawingu tv
 
Back
Top Bottom