Ukonga: Wananchi waonesha kukosa imani na Waitara

yomboo

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2015
Messages
4,998
Likes
3,243
Points
280

yomboo

JF-Expert Member
Joined May 9, 2015
4,998 3,243 280
Waitara kwisha kazi ! Usaliti ni laana .
Sio kwa Tanzania hata wakimkataa wote huyo ndio mbunge wao technically kashashinda

Hizi mnazofanya mitandaoni ni kujipa moyo tuu kwakuwa bado ninyi mmelala inapaswa mburuzwe mpaka mpate akili
 
Ebe

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2013
Messages
428
Likes
511
Points
180

Ebe

JF-Expert Member
Joined Apr 18, 2013
428 511 180
Tunajua hamumtaki na hamta mpigia kura lakini hakuna jinsi ndo Mbunge wenu hata mkimkataa Ukonga nzima haisaidii atatangazwa mshindi tu. Jiandaeni kisaikolojia. "Nikupe mshahara nikupe na Gari alafu umtangaze mpinzani..."
 
ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Messages
5,888
Likes
1,736
Points
280

ISLETS

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2012
5,888 1,736 280
si waitara tu, yani kiongozi yeyote akijiuzuru na kugama chama, akigombea tena huko, kumpa kura ni UJINGA kiwango cha lami, upumbavu kabisa, kama aliambiwa kuunga mkono juhudi ni mpaka uhame chama basi ni Mpumbavu kama wapumbavu wengine.
 
bigmind

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Messages
8,426
Likes
7,604
Points
280

bigmind

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2015
8,426 7,604 280
Tunajua hamumtaki na hamta mpigia kura lakini hakuna jinsi ndo Mbunge wenu hata mkimkataa Ukonga nzima haisaidii atatangazwa mshindi tu. Jiandaeni kisaikolojia. "Nikupe mshahara nikupe na Gari alafu umtangaze mpinzani..."
Point!
 
funza

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Messages
7,132
Likes
2,137
Points
280

funza

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2013
7,132 2,137 280
Hata wana ccm wengi wameonyesha kuwa kwenda kupiga kura kwa MTU wao ni kama kupoteza muda tuu kwani uwezekano Wa kushinda ulishapotea labda chama chao kitumie mbinu mbadala
CCM wana ushindi mfukoni na polisiccm watampatia ushindi kwa nguvu ni mda wa kutangazwa unasubiriwa tu.
 
funza

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Messages
7,132
Likes
2,137
Points
280

funza

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2013
7,132 2,137 280
si waitara tu, yani kiongozi yeyote akijiuzuru na kugama chama, akigombea tena huko, kumpa kura ni UJINGA kiwango cha lami, upumbavu kabisa, kama aliambiwa kuunga mkono juhudi ni mpaka uhame chama basi ni Mpumbavu kama wapumbavu wengine.
Wananchi watapiga kura za kumkataa Waitara na kumchagua mpinzani lakini tume ya uchunguzi na polisiccm watamshinikiza mkurugenzi kufanya unyama kwa kumtangaza Mwita waitara kuwa mahindi hicho ndicho kituko kinakuja jumapili
 
Forum statistics

Threads 1,203,566
Members 456,823
Posts 28,119,188