Sio kwa Tanzania hata wakimkataa wote huyo ndio mbunge wao technically kashashindaWaitara kwisha kazi ! Usaliti ni laana .
Hata Kinondoni mlisema hivyo hivyo!Hata wana ccm wengi wameonyesha kuwa kwenda kupiga kura kwa MTU wao ni kama kupoteza muda tuu kwani uwezekano Wa kushinda ulishapotea labda chama chao kitumie mbinu mbadala
Naona hamtujui vyema na hako kadada kenu...! Chama dume wewe hatuwezi tishwa na kupe siye ndiyo nature Tanzania rangi ya kijani.Waitara kwisha kazi ! Usaliti ni laana .
Point!Tunajua hamumtaki na hamta mpigia kura lakini hakuna jinsi ndo Mbunge wenu hata mkimkataa Ukonga nzima haisaidii atatangazwa mshindi tu. Jiandaeni kisaikolojia. "Nikupe mshahara nikupe na Gari alafu umtangaze mpinzani..."
Naona hamtujui vyema na hako kadada kenu...! Chama dume wewe hatuwezi tishwa na kupe siye ndiyo nature Tanzania rangi ya kijani.
Asomewe Alibadili mapema ya kumzuia kufanya uchakachuajiWaitara kwisha kazi ! Usaliti ni laana .
Alibadili isimwe mapema ili CCM wajue Laana itawafuata endapo watapora ushindi na kumsimika mwita waitara kwa njia haramu.Kwa hiyo mnategemea CCM watawaachia Upinzani mshinde. Msiwe wepesi kusahau ya Kinondoni.
Suala zima la mtu kujiuzulu nafasi yake (ubunge/udiwani) na kujiunga na chama kingine eti akimuunga mkono fulani ni maajabu ya dunia. Halafu eti unaandaliwa uchaguzi mwingine kwa gharama kubwa, halafu mtu yule yule aliyejiuzulu anarudi kwa watu wale wale kuwaomba kura kwa ajili ya nafasi ile ile! Halafu eti kuna watu wanampa kura! Watanzania sijui nani katuroga? Hizi ni tabia za kimaskini. Haya 'maajabu' huwezi kuyaona kwenye nchi za watu wanaojitambua.si waitara tu, yani kiongozi yeyote akijiuzuru na kugama chama, akigombea tena huko, kumpa kura ni UJINGA kiwango cha lami, upumbavu kabisa, kama aliambiwa kuunga mkono juhudi ni mpaka uhame chama basi ni Mpumbavu kama wapumbavu wengine.
Surprisingly Waitara ndio atatangazwa kua MbungeGo Go Asia Msangi