Ukonga: Wananchi waonesha kukosa imani na Waitara

Ta Nanka

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Messages
264
Likes
95
Points
45

Ta Nanka

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2013
264 95 45
si waitara tu, yani kiongozi yeyote akijiuzuru na kugama chama, akigombea tena huko, kumpa kura ni UJINGA kiwango cha lami, upumbavu kabisa, kama aliambiwa kuunga mkono juhudi ni mpaka uhame chama basi ni Mpumbavu kama wapumbavu wengine.
Suala zima la mtu kujiuzulu nafasi yake (ubunge/udiwani) na kujiunga na chama kingine eti akimuunga mkono fulani ni maajabu ya dunia. Halafu eti unaandaliwa uchaguzi mwingine kwa gharama kubwa, halafu mtu yule yule aliyejiuzulu anarudi kwa watu wale wale kuwaomba kura kwa ajili ya nafasi ile ile! Halafu eti kuna watu wanampa kura! Watanzania sijui nani katuroga? Hizi ni tabia za kimaskini. Haya 'maajabu' huwezi kuyaona kwenye nchi za watu wanaojitambua.
 
mambio

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2017
Messages
373
Likes
140
Points
60
Age
70

mambio

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2017
373 140 60
Hata wana ccm wengi wameonyesha kuwa kwenda kupiga kura kwa MTU wao ni kama kupoteza muda tuu kwani uwezekano Wa kushinda ulishapotea labda chama chao kitumie mbinu mbadala
Mkuu nipo jimbo la ukonga. Waitara atashinda tena kihalali na kwa kura nyingi. Vijana asilimia kubwa hasa waupinzani wamegoma kupiga kura. Hawana imani kabisa!
 
Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
26,315
Likes
28,204
Points
280

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
26,315 28,204 280
Mkuu nipo jimbo la ukonga. Waitara atashinda tena kihalali na kwa kura nyingi. Vijana asilimia kubwa hasa waupinzani wamegoma kupiga kura. Hawana imani kabisa!
Mkuu hao vijana watapiga kura hasa baada ya wahisani Wa nje kuonyesha kutoridhishwa na chaguzi zetu.
Watu wanataka USA wawa prove ccm kuwa ni wezi na waporaji kama M7 Kule Uganda.
Chadema sio wajinga kushiriki uchaguzi huku wakijua Wakurugenzi ni walewale waliopewa tahadhari kuwa wakitangaza asiye ccm watakiona, mnadhani wataendelea mpaka lini?
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2017
Messages
27,268
Likes
69,850
Points
280
Age
18

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2017
27,268 69,850 280
Hata wana ccm wengi wameonyesha kuwa kwenda kupiga kura kwa MTU wao ni kama kupoteza muda tuu kwani uwezekano Wa kushinda ulishapotea labda chama chao kitumie mbinu mbadala
screenshot_2018-09-13-06-00-25-jpg.864671

screenshot_2018-09-13-06-00-38-jpg.864672

Waitara anarudishwa Bungeni kwa namna yoyote ile, nguvu ya umma tu ndio itakayosababisha mshindi halali kupatikana
 
Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
26,315
Likes
28,204
Points
280

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
26,315 28,204 280
Kwa ufupi waitara keshashinda, kalagabaho
Kuna tofauti ya kushinda na kutangazwa. Acha atangazwe kwa sababu bunduki na mabomu wanayo wao, lakini Chadema nao washinde uchaguzi na wananchi wajue kuwa wameshinda Ila hawana bunduki na mabomu ya kushindia.
 
ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Messages
5,884
Likes
1,732
Points
280

ISLETS

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2012
5,884 1,732 280
Wananchi watapiga kura za kumkataa Waitara na kumchagua mpinzani lakini tume ya uchunguzi na polisiccm watamshinikiza mkurugenzi kufanya unyama kwa kumtangaza Mwita waitara kuwa mahindi hicho ndicho kituko kinakuja jumapili
Naamini huwa kuna kiwango cha kura hata kuiba huwa wanajishtukia, mfano Waitara apate kura chini ya 40 sidhani kama wataweza kuiba za kuonhezea hapo.
Tatizo kuna watu wanafiki, wakiishahongwa hela wanasahau utu na thamani yao.
 
ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Messages
5,884
Likes
1,732
Points
280

ISLETS

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2012
5,884 1,732 280
Suala zima la mtu kujiuzulu nafasi yake (ubunge/udiwani) na kujiunga na chama kingine eti akimuunga mkono fulani ni maajabu ya dunia. Halafu eti unaandaliwa uchaguzi mwingine kwa gharama kubwa, halafu mtu yule yule aliyejiuzulu anarudi kwa watu wale wale kuwaomba kura kwa ajili ya nafasi ile ile! Halafu eti kuna watu wanampa kura! Watanzania sijui nani katuroga? Hizi ni tabia za kimaskini. Haya 'maajabu' huwezi kuyaona kwenye nchi za watu wanaojitambua.
Mkuu hayo maajabu hata mimi nashindwa kuwaelewa kabisa wanaowapigia kampeni watu kama hao yani ni kujidhalilisha kwa hali ya juu.
 
Forum statistics

Threads 1,203,433
Members 456,762
Posts 28,113,347