Ukonga: Wananchi waonesha kukosa imani na Waitara

Tunajua hamumtaki na hamta mpigia kura lakini hakuna jinsi ndo Mbunge wenu hata mkimkataa Ukonga nzima haisaidii atatangazwa mshindi tu. Jiandaeni kisaikolojia. "Nikupe mshahara nikupe na Gari alafu umtangaze mpinzani..."
 
si waitara tu, yani kiongozi yeyote akijiuzuru na kugama chama, akigombea tena huko, kumpa kura ni UJINGA kiwango cha lami, upumbavu kabisa, kama aliambiwa kuunga mkono juhudi ni mpaka uhame chama basi ni Mpumbavu kama wapumbavu wengine.
 
Kwa hiyo mnategemea CCM watawaachia Upinzani mshinde. Msiwe wepesi kusahau ya Kinondoni.
 
Point!
 
Naona hamtujui vyema na hako kadada kenu...! Chama dume wewe hatuwezi tishwa na kupe siye ndiyo nature Tanzania rangi ya kijani.
Subpost 1 - SALUM MWALIMU _AWAVAA_ MAGUFULI NA DKT. BASHIRU  AKIMNADI ASIA MSANG.jpg
 
Kwa hiyo mnategemea CCM watawaachia Upinzani mshinde. Msiwe wepesi kusahau ya Kinondoni.
Alibadili isimwe mapema ili CCM wajue Laana itawafuata endapo watapora ushindi na kumsimika mwita waitara kwa njia haramu.
 
si waitara tu, yani kiongozi yeyote akijiuzuru na kugama chama, akigombea tena huko, kumpa kura ni UJINGA kiwango cha lami, upumbavu kabisa, kama aliambiwa kuunga mkono juhudi ni mpaka uhame chama basi ni Mpumbavu kama wapumbavu wengine.
Suala zima la mtu kujiuzulu nafasi yake (ubunge/udiwani) na kujiunga na chama kingine eti akimuunga mkono fulani ni maajabu ya dunia. Halafu eti unaandaliwa uchaguzi mwingine kwa gharama kubwa, halafu mtu yule yule aliyejiuzulu anarudi kwa watu wale wale kuwaomba kura kwa ajili ya nafasi ile ile! Halafu eti kuna watu wanampa kura! Watanzania sijui nani katuroga? Hizi ni tabia za kimaskini. Haya 'maajabu' huwezi kuyaona kwenye nchi za watu wanaojitambua.
 
"Mimi naitwa Mwaimu Shabani, nasema Asia Msangi tunamfahamu, tulikuwa tumekaa nae, yuko vizuri, tumeshamueleza, tumemtuma kazi, na yeye anatujua, kwa sababu kwanza anatuogopa"!

Masikini ya Mungu Asia Msangi, kazi anayo!
 
Back
Top Bottom