Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,991
- 25,331
.....Suala zima la mtu kujiuzulu nafasi yake (ubunge/udiwani) na kujiunga na chama kingine eti akimuunga mkono fulani ni maajabu ya dunia. Halafu eti unaandaliwa uchaguzi mwingine kwa gharama kubwa, halafu mtu yule yule aliyejiuzulu anarudi kwa watu wale wale kuwaomba kura kwa ajili ya nafasi ile ile! Halafu eti kuna watu wanampa kura! Watanzania sijui nani katuroga? Hizi ni tabia za kimaskini. Haya 'maajabu' huwezi kuyaona kwenye nchi za watu wanaojitambua.
......Kweli huu ni upumbavu kiwanho cha ibilisi hata shetani cha mtoto