Ndiyo maana figisu zinaanza serikali za mitaa ili tupate wabunge wengi wakupitisha muswaada wa sheriaDalili zote za Museveni na Kagame zipo!
mme wako kaiyona hii postMiaka 10 kwa Rais kwa kweli ni michache kwa Rais aliekuwa na mipango mizuri na dhabiti ya kukamilisha pamoja na kuibadili nchi
Napendekeza walau mihula mitatu ya miaka mitano mitano au mihula minne hivi ya miaka mitano mitano
Maoni yangu tu
Tatizo la nchi yetu, na wewe unalo, nchi haina mipango, mipango yote ni ya raisi. Ni makosa makubwa.Miaka 10 kwa Rais kwa kweli ni michache kwa Rais aliekuwa na mipango mizuri na dhabiti ya kukamilisha pamoja na kuibadili nchi
Napendekeza walau mihula mitatu ya miaka mitano mitano au mihula minne hivi ya miaka mitano mitano
Maoni yangu tu
Napendekeza muhula mmoja wa miaka 10Miaka 10 kwa Rais kwa kweli ni michache kwa Rais aliekuwa na mipango mizuri na dhabiti ya kukamilisha pamoja na kuibadili nchi
Napendekeza walau mihula mitatu ya miaka mitano mitano au mihula minne hivi ya miaka mitano mitano
Maoni yangu tu
Kwa nini leo ionekane miaka 10 haitoshi kwa Rais kutekeleza ilani ya chama chake baada ya Marais watatu kila mmoja kufanya hivyo? Hii ni Serkali ya Awamu ya tano ikiongozwa na chama hichohicho kwa nini unafiri huyu Rais anahitaji muda zaidi kutekeleza wajibu wake kama alivyoomba na kwa mujibu wa Katiba? Unataka kutuaminisha kuwa huyu ni dhaifu sana una wasiwasi hataweza kusimamia ilani ya chama chako? Marekani kwa miaka 300 sasa wamekuwa na mihula miwili ya miaka 4 kila mhula wakitekeleza ilani ya vyama tofautitofauti. Kwa huyu mimi naona miaka 5 tosha kabisa maana maneno mengi vitendo kiduchu.Miaka 10 kwa Rais kwa kweli ni michache kwa Rais aliekuwa na mipango mizuri na dhabiti ya kukamilisha pamoja na kuibadili nchi
Napendekeza walau mihula mitatu ya miaka mitano mitano au mihula minne hivi ya miaka mitano mitano
Maoni yangu tu
Wekeni 100 itapendeza zaidi.Miaka 10 kwa Rais kwa kweli ni michache kwa Rais aliekuwa na mipango mizuri na dhabiti ya kukamilisha pamoja na kuibadili nchi
Napendekeza walau mihula mitatu ya miaka mitano mitano au mihula minne hivi ya miaka mitano mitano
Maoni yangu tu
Kwani yeye tu ndio mwenye uwezo? Una uhakika gani kwamba tabia ya mwanasiasa ya Leo ndio hiyo hiyo baada ya miaka mi3? Unaona tabia ya wanasiasa hao hao wakati wa 4T ni sawa na hao hao wakati huu wa 5T?Miaka 10 kwa Rais kwa kweli ni michache kwa Rais aliekuwa na mipango mizuri na dhabiti ya kukamilisha pamoja na kuibadili nchi
Napendekeza walau mihula mitatu ya miaka mitano mitano au mihula minne hivi ya miaka mitano mitano
Maoni yangu tu
pumbavu huna lolote we kibuduMiaka 10 kwa Rais kwa kweli ni michache kwa Rais aliekuwa na mipango mizuri na dhabiti ya kukamilisha pamoja na kuibadili nchi
Napendekeza walau mihula mitatu ya miaka mitano mitano au mihula minne hivi ya miaka mitano mitano
Maoni yangu tu
Wenye akili kubwa kama wewe tuko wachache. Miaka kumi ni michache kwa wale wenye teuzi na ndio hao hupiga debe tuondoe ukomo wa miaka 10 ila wakitumbuliwaga akili zinawarudia.Walamba viatu at work again. Point zakonni very weak. Kuna nchi rais ana ukomo wa miaka minne kwa muhula.. lakin ona maendeleo yao.
It all about dira ya kitaifa.. sio ukomo wa madaraka
watu wenye akili ndogo kama wewe ndo wanaifanya hii nchi iendelee kuwa moja ya nchi masikini sana duniani!!inasikitisha sana kwa nini tunakuwa na watu hawana akili kiasi hiki kama nchi!!?ila watawala ndo wanawapenda watu kama nyinyi msio na akili!ili wawatawale vizuri!!Miaka 10 kwa Rais kwa kweli ni michache kwa Rais aliekuwa na mipango mizuri na dhabiti ya kukamilisha pamoja na kuibadili nchi
Napendekeza walau mihula mitatu ya miaka mitano mitano au mihula minne hivi ya miaka mitano mitano
Maoni yangu tu