Ukomo wa Miaka 10 urais ni miaka michache jamani

Ukomo wa Miaka 10 urais ni miaka michache jamani

Miaka 10 kwa Rais kwa kweli ni michache kwa Rais aliekuwa na mipango mizuri na dhabiti ya kukamilisha pamoja na kuibadili nchi

Napendekeza walau mihula mitatu ya miaka mitano mitano au mihula minne hivi ya miaka mitano mitano

Maoni yangu tu

Ingekuwa kukaa madarakani muda mrefu, leo nchi yetu ingekuwa kama Afrika kusini kwani Nyerere alikaa 20yrs+ na bado tulivaa viraka.
 
Kuna tofauti ya nyakati. Huenda kuwa wkt huo hata magufuli angefanya the same.
Hao south africa maendeleo hayakuja kirahis.. walimwaga damu. Na ile presence ya watu weupe imesaidia wao kuweza kupata maendeleo. Lakin kama wale wazungu wangesepa wabaki wenyewe.. trust me.. wasingekuwa hapo.
Maendeleo ni dira ya kitaifa.. sio dira ya rais fulan

Mleta hoja anaonyesha maendeleo huletwa na rais na sio dira ya taifa.
 
Boss MASAMILA Sio Bure Umtumwa wewe, Iwapo ni Uhuru wako ila ujumbe wako ni Ujinga Mtupu.
Hata hiyo miaka 10 si Sheria na Katiba, ni Utaratibu tu wa CCM, Katiba ya Nchi inasema ni Miaka 5.
Inashangaza Nchi kuwa na Idadi ya zaidi watu 40m halafu mnataka Usultani??? Na hii siisemei CCM tu, Hata Upinzani nako ilipaswa Mwenyekiti wao asizidishe Vipindi 2 vya miaka 5 au 4.
Nchi ikiwa na Katiba na Sheria nzuri, na ukajenga Taasisi Imara, hauhitaji Sultani kuongoza.

Miaka 10 kwa Rais kwa kweli ni michache kwa Rais aliekuwa na mipango mizuri na dhabiti ya kukamilisha pamoja na kuibadili nchi

Napendekeza walau mihula mitatu ya miaka mitano mitano au mihula minne hivi ya miaka mitano mitano

Maoni yangu tu
 
Marekani wana marais wazuri tu lakini ni miaka minne minne na wameweza kutimiza yale waliyoyapigia kampeni HAPA MIAKA MI5 LAKINI MALENGO MENGI HAYATIMII SEMBUSE HIYO MIHULA MI 3 kwanza ni against katiba na DEMOKRASIA.
Tatizo hamsomi historia, hivi unajua kwanini Rais Franklin Roosevelt wa Marekani alitawala kuanzia mwaka 1933-1945?
 
Ingekuwa kukaa madarakani muda mrefu, leo nchi yetu ingekuwa kama Afrika kusini kwani Nyerere alikaa 20yrs+ na bado tulivaa viraka.
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Nimeangalia sehemu ya kukupa Like tano nikakosa.

Kama Ukuu wa Nchi ungekua ni ajira kama ajira nyingine zenye Mikataba inayosimamiwa na Bodi mbalimbali na watu wangeomba kwa CV zao baada ya kumaliza vyuo nadhani ingekua sahahi lakini hii ya watu wanatumikia Ajira zao wengine mpaka wanastaafu halafu wanapata uwaziri miaka 20 ,ubunge,sijui nini na nini halafu wanaukwaa ukuu wakiwa wameshachoka kiakili ,nadhani miaka 10 inatosha kabisa ili wakalee wajukuu.
Tena hata mitano ni mingi kwa nchi zinazoongozwa na akili ya mtu mmoja.
Mtu akiamka asubuhi na hasira za mkewe huko nyumbani anaamua kumalizia hasira zake kwenye Maamuzi ya kuumiza wengine bila kuulizwa na yeyote.
Hapana Waafrika tusizidi kujidhalilisha kuona kuwa binadamu wenzetu wanaweza kufanya kila kitu kama Mungu.
Tunafifisha sana uwezo wa Watoto wetu wa kufikiri kama kila kitu tunasema kinafanywa na kitafanywa na MTU mmoja.
Yani Radio ,TV ,magazeti na mitandao yote inaweka akili zetu zote stoo kisha kumpa majukumu yote MTU mmoja.
Kwa kweli hakuna ubunifu kabisa.
Ndio maana hata wasomi na wasio wasomi kwa Nchi zetu za kiafrika hawana tofauti zaidi ya Tofauti ya madaraka na mishahara.

Kina jamaa mmoja yeye anasoma kweli kwelil akiwa kazini lakini anasoma sio ili atatue tatizo kwenye jamii kwa kuwa mbunifu wa jambo jipya Bali ili mshahara wake uongezeke na apate uteuzi au cheo kwenye idara yake.
Hapo ndipo anapolenga tu huku Matatizo kwenye jamii akiacha ya tatuliwe na wanasiasa wachache wenye mamlaka ya kuteua au kupandisha mishahara.
 
Ingekuwa kukaa madarakani muda mrefu, leo nchi yetu ingekuwa kama Afrika kusini kwani Nyerere alikaa 20yrs+ na bado tulivaa viraka.
Mkuu ni kweli waambie tatizo wengi humu ni vijana hawakuwepo enzi hizo viraka kaputula yote matakoni na kwenye magoti watu wanapanga foleni kutwa nzima kununua mkate ikija sukari kulo moja lazima ununuwe na jembe ndiyo upewe sukari kwakweli kukaa miaka mingi siyo kuwa ndiyo maendeleo watoto waliopata ufahamu wakati Wa mkapa na kikwete wanadha wakati huo ilikuwa lelemama
 
Miaka 10 kwa Rais kwa kweli ni michache kwa Rais aliekuwa na mipango mizuri na dhabiti ya kukamilisha pamoja na kuibadili nchi

Napendekeza walau mihula mitatu ya miaka mitano mitano au mihula minne hivi ya miaka mitano mitano

Maoni yangu tu
Halafu mlikuwa mnabeza nini Mugabe sasa?
Kisha akiingia rais wa hovyo na mwenye mipango mibovu mtafanya nini?
 
Miaka 10 kwa Rais kwa kweli ni michache kwa Rais aliekuwa na mipango mizuri na dhabiti ya kukamilisha pamoja na kuibadili nchi

Napendekeza walau mihula mitatu ya miaka mitano mitano au mihula minne hivi ya miaka mitano mitano

Maoni yangu tu
Hata hiyo michache kwanini isiwe awamu mbili za miaka 50/50?
Maana hakunaga muda mwingi wala mchache
 
Ktk utawala wake hawakuongeza muda. Bali aligombea kila kipindi. Na alichaguliwa
Tatizo hamsomi historia, hivi unajua kwanini Rais Franklin Roosevelt wa Marekani alitawala kuanzia mwaka 1933-1945?
 
Hata hiyo uliyoweka haitoshi, iwe zaidi mpaka miaka 30 hivi au tuwe na mfumo kifalme kabisa na huku kwingine mfalme ndio awe anaamua tu.. Tutapiga hatua kama Dubai vile..
 
Kumbe nduguze na Nkamia mpo wengi.hongera kwa kutumia uhuru wako wa kutoa maoni
 
Miaka 10 kwa Rais kwa kweli ni michache kwa Rais aliekuwa na mipango mizuri na dhabiti ya kukamilisha pamoja na kuibadili nchi

Napendekeza walau mihula mitatu ya miaka mitano mitano au mihula minne hivi ya miaka mitano mitano

Maoni yangu tu
Hii ndio mbinu yenu ya kusaka ulaji kwa Burigi?
 
Walamba viatu at work again. Point zakonni very weak. Kuna nchi rais ana ukomo wa miaka minne kwa muhula.. lakin ona maendeleo yao.
It all about dira ya kitaifa.. sio ukomo wa madaraka
Hakuna haja ya Point.Watz watapata akili na wataelewa kidogo. Kwa sasa watz ni viumbe hatari sana.Wanafanya mizaha ktk kila kitu.Wanaweza kushitaki vibaya kuliko wayahudi enzi ya Yesu. Hoji hoja hawaelewi au hawataki au wanaona wakienda upande wa pili watajipendekeza kirahisi sasa hivi kujipendekeza kumekuwa na upinzani kuliko kufanya kazi halali.CCM tuu ndio hawajajua.Mwenyekiti wao ana list ndefu sana ya wanaojipendekeza.
 
Back
Top Bottom