Ukomo wa Miaka 10 urais ni miaka michache jamani

Ukomo wa Miaka 10 urais ni miaka michache jamani

Mawazo tu mkuu mi nipo zangu napambana na jembe mkoani

Naona kwa viongozi hawa bora ukomo wa madaraka usiwepo tuu

Rais asaidie kubadilisha utamaduni lakini maendeleo yataletwa na mfumo bora ili hata kilaza aweze kuleta maendeleo
 
Back
Top Bottom