Haha.Tatizo lilianzia kwa nyerere alijua katiba ni ya hovyo na alikuwa na madaraka yote ya kuwapa maelekezo nyumbu wake wabadili,akajifanya anaheshimu sana mawazo ya nyumbu.JK na yeye akageuka jiwe la chumvu,Sasa ngoja kidogo huyu jamaa afanye kazi yake kwa weledi wake. Mwisho tutakuwa na mawazo yanayopinga ila sio ktk kuweka katiba vyemaTatizo linaanzia hapo. Kama maendeleo yanaletwa na rais. Basi Uganda wangekuwa chi tajiri kuliko zote
Marekani wana raia , majeshi,wastaafu wenye kujua vitu vya msingi kidogo. Hapa kwetu nadhani huyu jamaa atashtua akili kidogo.Marekani wana vipindi viwili vya miaka minne minne hao nao si inabidi waongeze pia
Wewe umeshawahi kuwa Rais? Kama hujawahi unajuaje kuwa miaka kumi haitoshi ikiwa mzee Mwinyi, Ndugu Mkapa, Comrade Kikwete na uyu jamaa wa sasa (anayelalamika kuwa angejua kama urais ni kazi ngumu hakika hasingegombea ) hawajawahi kusema kama miaka kumi ni michache?Miaka 10 kwa Rais kwa kweli ni michache kwa Rais aliekuwa na mipango mizuri na dhabiti ya kukamilisha pamoja na kuibadili nchi
Napendekeza walau mihula mitatu ya miaka mitano mitano au mihula minne hivi ya miaka mitano mitano
Maoni yangu tu
Mzee jaribu kutafakari tena ama hata kukaa usiku wa manani bila kulala ukitafakari kwa makini, Wazo lako ni HATARI sana kwa ustawi wa Taifa letuMiaka 10 kwa Rais kwa kweli ni michache kwa Rais aliekuwa na mipango mizuri na dhabiti ya kukamilisha pamoja na kuibadili nchi
Napendekeza walau mihula mitatu ya miaka mitano mitano au mihula minne hivi ya miaka mitano mitano
Maoni yangu tu
Naunga mkono hoja...kwa Rais mzuri kama JPM tufanye 15 yrs.Miaka 10 kwa Rais kwa kweli ni michache kwa Rais aliekuwa na mipango mizuri na dhabiti ya kukamilisha pamoja na kuibadili nchi
Napendekeza walau mihula mitatu ya miaka mitano mitano au mihula minne hivi ya miaka mitano mitano
Maoni yangu tu
Jiwe kakatuma baada ya kuona muda wake wa kusepa umefika? Days are numbered.Miaka 10 kwa Rais kwa kweli ni michache kwa Rais aliekuwa na mipango mizuri na dhabiti ya kukamilisha pamoja na kuibadili nchi
Napendekeza walau mihula mitatu ya miaka mitano mitano au mihula minne hivi ya miaka mitano mitano
Maoni yangu tu
Jiwe baibai alifikiri atakaa milele.Yaani
Michache ngoja siku chadema wachukue uje uandikeMiaka 10 kwa Rais kwa kweli ni michache kwa Rais aliekuwa na mipango mizuri na dhabiti ya kukamilisha pamoja na kuibadili nchi
Napendekeza walau mihula mitatu ya miaka mitano mitano au mihula minne hivi ya miaka mitano mitano
Maoni yangu tu
Nchi hata kuiongoza siku moja ni priviledge. Hakuna mtu anayeweza kusema ufupi au urefu wa muda wa rais kukaa madarakani una faida ama hasara.Miaka 10 kwa Rais kwa kweli ni michache kwa Rais aliekuwa na mipango mizuri na dhabiti ya kukamilisha pamoja na kuibadili nchi
Napendekeza walau mihula mitatu ya miaka mitano mitano au mihula minne hivi ya miaka mitano mitano
Maoni yangu tu
Miaka 10 kwa Rais kwa kweli ni michache kwa Rais aliekuwa na mipango mizuri na dhabiti ya kukamilisha pamoja na kuibadili nchi
Napendekeza walau mihula mitatu ya miaka mitano mitano au mihula minne hivi ya miaka mitano mitano
Maoni yangu tu
Waliopanga miaka 10 hata hiyo 15 waliijadili Watanzania sio wajinga miaka 10 inatosha.Miaka 10 kwa Rais kwa kweli ni michache kwa Rais aliekuwa na mipango mizuri na dhabiti ya kukamilisha pamoja na kuibadili nchi
Napendekeza walau mihula mitatu ya miaka mitano mitano au mihula minne hivi ya miaka mitano mitano
Maoni yangu tu
Hatakiwi kabisa kufikiria kuongeza mihula. Tunatakiwa tuwe na taasisi imara (strong institutions) na sera shirikishi. Tukiwa na hivi hats muhula mmoja unatosha.Miaka 10 kwa Rais kwa kweli ni michache kwa Rais aliekuwa na mipango mizuri na dhabiti ya kukamilisha pamoja na kuibadili nchi
Napendekeza walau mihula mitatu ya miaka mitano mitano au mihula minne hivi ya miaka mitano mitano
Maoni yangu tu
Mwalimu alituusia tuvumilie kuwahudumia maRais wastaafu. Miaka 10 tu ! Huenda pia wengine wakaishia miaka 5.Walamba viatu at work again. Point zakonni very weak. Kuna nchi rais ana ukomo wa miaka minne kwa muhula.. lakin ona maendeleo yao.
It all about dira ya kitaifa.. sio ukomo wa madaraka