Uko wapi now na uko na nani?

Uko wapi now na uko na nani?

Nipo kitandani.. Planning my tomorrow's schedule! And checking whats been happening hapa jf.. Before i sleep..!
Suali B hujajibu amyner, jamaa kauliza upo wapi na upo na nani? wewe umejibu upo wapi tu? kama haujafata instruction jamaa atakukata maksi ujue
 
Aisey, dia hiyo sasa comment ya mwisho bwanaa! Shusha net , zima taa alafu tena! Alafu tena alaf ala.....

alafu tena imekuwaje tena? Mnaringa nyie haya bwana nami ngoja nimtafute wangu hapa jf aje kwangu kesho.
 
Oooh darling rejao,asante mme wangu naona umeshiba mpaka umecheua,tulale now,mwaaaaa!
 
Nawatakia mapumziko mema nitawasoma baadae!
 
Niko shambani napambana na nyani...wanatafuna sana mahindi hawa washenz.....!
 
Niko sebuleni nyumbani kwa wazazi wangu, my dad is the only person sebuleni with me, anaangalia documentary ya antique mosaics, mimi nafata kwa mbali, but I am on JF zaidi. From time to time we talk. I feel happy 🙂
we Russian R na mabunduki yako,uko kwa baba? hujaolewa tu? Unangoja nini? Bishanga ndo natoka kwa hawara yangu narudi nyumbani.
 
Suali B hujajibu amyner, jamaa kauliza upo wapi na upo na nani? wewe umejibu upo wapi tu? kama haujafata instruction jamaa atakukata maksi ujue

Hahaha haja specify kwamba answer ALL questions. So naweza kujibu moja.. Hata nikienda court nashinda kesi.
 
alafu tena imekuwaje tena? Mnaringa nyie haya bwana nami ngoja nimtafute wangu hapa jf aje kwangu kesho.

Borncv , natamani kweli nikujibu lakini ndiyo hivyo tushalala, na Mamaa-Penzi akishashusha Net hua haniruhusu kuongea na aliye nje ya Net !
Hiyo ndiyo protokali ya itifaki aliyonipangia . Na mie kwa nidhamu kama askari mkurya.
Akiniruhusu ntakujibu.
 
Na hapa umewezaje kuandika??
 
Hee judgement huja lala tu!
Duh mwenzio mbu wamenishtua nikasema afadhali ngoja nicheck jf. Kweli hapa nimetekwa, jf imekuwa mpenzi wangu now.
Haya kwa heri mpenzi narudi tena usingizini.
 
we Russian R na mabunduki yako,uko kwa baba? hujaolewa tu? Unangoja nini? Bishanga ndo natoka kwa hawara yangu narudi nyumbani.
Hahahaha, nimeolewa Bishanga, nina watoto wawili. But niko leave kwa wazazi wangu. niliingia Sunday. that is why I am so happy to be with dad, kama zamani. 🙂
 
Itabidi nije kuchukua darasa kwako, napenda nikisikia mtu anaongea!! Hahah unaogopa nini Roulette......mie nipo TZ kama kawaida, sema tu sometimes mambo yanachanganya mpaka najisahau though kiukweli mie ni mvivu sana kwenye suala la kula tena kama nisipohisi njaa ndo kabisa!!! Lol.....next time nikipika tambi nitakurushia kwa bluetooth!
Karibu sana kwa darasa... the way you eat (irregular) sio healthy kabisa. hata mimi sometimes hifanya hivo but sio healthy and I wouldn't encourage you. Hata kama huhisi njaa, kula hata matunda basi.
 
Back
Top Bottom