Uko wapi now na uko na nani?

Karibu sana kwa darasa... the way you eat (irregular) sio healthy kabisa. hata mimi sometimes hifanya hivo but sio healthy and I wouldn't encourage you. Hata kama huhisi njaa, kula hata matunda basi.

We nipangie ratiba tu ila usiwe mkali saana nikashindwa kuelewa lol!!......hapo kuhusu kula jamani mi nahisi ni mazoea, nimeshajaribu kujirekebisha lakini baada ya muda najikuta nimerudia hali ile ile! BTW, asante kwa ushauri wako......well noted dear!
 
Back
Top Bottom