Uko wapi now na uko na nani?

Hahahaha, nimeolewa Bishanga, nina watoto wawili. But niko leave kwa wazazi wangu. niliingia Sunday. that is why I am so happy to be with dad, kama zamani. :)

Swadakta,hayo ndo maneno dear,nyumbani kwangu kimewaka kumbe jana miharaka ya kutoka kwa hawara nilivaa Chu...pi ndani nje,wakati nasarura jana usiku mama kayai aka note, tunavyoongea home ni Kosovo,jf Nina browse chooni NA Nokia tochi kangu,kaapa ananimwagia uji WA moto Leo.
 
Hahaha haja specify kwamba answer ALL questions. So naweza kujibu moja.. Hata nikienda court nashinda kesi.
heheeh inaonekana unaogopa kuwaambia kama uko na mimi. Na bora usiwaambie, waswahili wanga bana
 
Ndo kulia gani huko? Mmh hakuna hata mafunzo?!
Mafunzo yapo na mimi ndio nimepewa jukumu la kuhakikisha kinamama wanalia kilio cha baraka na sio cha kizushi, weka venue na muda halaf nitakupitia na bodaboda speshel ya kukusanyia sadaka. Uskuje na mumeo, hairuhusiwi
 
Niko uchochoroni hapa nasikiliza maongezi yanayoendelea humo ndani thru dirisha... Sauti imekaa kaa kama ni member wa humu ndani....
 
niko Bar nina appointment na binti wa humu JF lakini kanichomesha mahindi maana hatokei nampa dk 20 asipotokea namtaja jina live...
 
Back
Top Bottom