Uko wapi.....Nikufate

Nipo mydia Munkari

Habari ya huko ulipo wewe

I miss you more than what i can write here

by the way nimeona kile kitu nilichokimis longtime i.e. pm

huku poa kabisaaa Uje unipe hi bana mekumis hadi nalia !!!
 
Last edited by a moderator:
mhm! bestito ukimya wote huo ndo inini kujichimbia huko namna hiyo
NIMEKUMISOOO

Nimekumiso zaidi best yani acha tu huku mjini wakati mwingine mambo huwa sio mambo unaweza kukuta mbili haikai wala mojq haisimami

Ila am around mpenzi wangu
 
jamani nimekumiss sana my X, you are too much lost maamuma! lols!..

uko wapi nikufwate kwa malaysia airline jamani!.. lols.. nataka tupotelee hewani wawili, lols!

hahahaaaaa!!huo usafiri usije nao
njoo na treni bora tupotelee porini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…