sijambo ma wiii
siku hizi lazima nitizame angani kwani ndiko kuna baraka zangu
na isitoshe nilishakwenda angani nimejua kuna hazina iliyofichika
karibu na wewe angani