Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Me namtafuta Munkari popote alipo salamu zangu zimfikie na mwambieni namtafuta sana.
Thread hii mtafute member yoyote wa Jf aliepotea na umemiss
mie naanza kwa kumtafuta BAK mara ya mwisho nilimuona akielekea
Angaza hadi leo amekua kimya sana
ujumbe: Milima haikutani binadam hukutana
Namtafuta my husband....tangu aondoke hadi leo hajarejea
bustani inahitaji umwagiliaji maana ukame wakausha mazao
dedication when I need you by Celine Dion
Uko wapi my mume Erickb52,Sis Fixed Point, my wii Nivea...mke mwenza shansarie & ladydoctor ...marafiki BAK kobun mimi49 sosoliso na nkeo long time no see
Popote mlipo nawapenda mnooo
Muwe na asubuhi njema