Uko wapi Mheshimiwa Spika Job Ndugai? We miss you!

Hivi unadhani nitakengeuka nyuma hapana, tulimuombea sana kipindi kile anaumwa India, wakati bunge liko chini ya Naibu spika. Tukijua labda yeye akija atabalance. Aisee kweli heli ya shetani umjuae kuliko malaika usiemjua. Alichokuja kufanya hakuna asiejua hapa Tanzania, akaharibu kila kitu, kwa kifupi alijaa kiburi cha madaraka na uzima!! Alisahau madaraka huwa hayadumu milele, na uzima ni wa Mungu. Narudia tena, kama anumwa mapenzi ya Mungu yatimizwe, ila ingekuwa ndio mimi potelea mbali.
 
Tangu kuanza kwa vikao vya Bunge hapa Dodoma, hukuonekana wala kusikika. Hata hafla za kitaifa zilizohitaji uwepo wako kama kuapishwa kwa Majaji na AG hukuwepo.

Badala yake, Naibu Spika Dr. Tulia Ackson Mwansasu na Mtemi Andrew Chenge wamekuwa wakiendesha Bunge na kukuwakilisha.

Uko wapi Mheshimiwa Spika? U mzima wa afya? U salama salmini? We miss you Comrade!

Nabii Tito!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Makao Makuu Dodoma)
Labda katumwa kutibiwa kama Kinana.
Hata matibabu lazima jamaa akutume mwenyewe likimpendedeza
 
Hivi unadhani nitakengeuka nyuma hapana, tulimuombea sana kipindi kile anaumwa India, wakati bunge liko chini ya Naibu spika. Tukijua labda yeye akija atabalance. Aisee kweli heli ya shetani umjuae kuliko malaika usiemjua. Alichokuja kufanya hakuna asiejua hapa Tanzania, akaharibu kila kitu, kwa kifupi alijaa kiburi cha madaraka na uzima!! Alisahau madaraka huwa hayadumu milele, na uzima ni wa Mungu. Narudia tena, kama anumwa mapenzi ya Mungu yatimizwe, ila ingekuwa ndio mimi potelea mbali.
Tuko pamoja sana
 
anaugulia kale kaugojwa alichopewa na watu wasiojulikana.. yeye na Mwaki-mango ni wahanga wa mwanzo mwanzo walinyonyoka nywele kama mbwa aliyepata sotoka
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Hivi unadhani nitakengeuka nyuma hapana, tulimuombea sana kipindi kile anaumwa India, wakati bunge liko chini ya Naibu spika. Tukijua labda yeye akija atabalance. Aisee kweli heli ya shetani umjuae kuliko malaika usiemjua. Alichokuja kufanya hakuna asiejua hapa Tanzania, akaharibu kila kitu, kwa kifupi alijaa kiburi cha madaraka na uzima!! Alisahau madaraka huwa hayadumu milele, na uzima ni wa Mungu. Narudia tena, kama anumwa mapenzi ya Mungu yatimizwe, ila ingekuwa ndio mimi potelea mbali.
Atanguliye tu sisi bado tupo nyuma yake ila yeye awahi maana hakuna namna!!
 
Tangu kuanza kwa vikao vya Bunge hapa Dodoma, hukuonekana wala kusikika. Hata hafla za kitaifa zilizohitaji uwepo wako kama kuapishwa kwa Majaji na AG hukuwepo.

Badala yake, Naibu Spika Dr. Tulia Ackson Mwansasu na Mtemi Andrew Chenge wamekuwa wakiendesha Bunge na kukuwakilisha.

Uko wapi Mheshimiwa Spika? U mzima wa afya? U salama salmini? We miss you Comrade!

Nabii Tito!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Makao Makuu Dodoma)
Da Mange Kimambi atumulikie huyu mtu kajichimbia wapi? Au ndio Dua ya kumwomba Lissu imemgeuka?
 
Back
Top Bottom