Uko wapi Mheshimiwa Spika Job Ndugai? We miss you!

Tangu kuanza kwa vikao vya Bunge hapa Dodoma, hukuonekana wala kusikika. Hata hafla za kitaifa zilizohitaji uwepo wako kama kuapishwa kwa Majaji na AG hukuwepo.

Badala yake, Naibu Spika Dr. Tulia Ackson Mwansasu na Mtemi Andrew Chenge wamekuwa wakiendesha Bunge na kukuwakilisha.

Uko wapi Mheshimiwa Spika? U mzima wa afya? U salama salmini? We miss you Comrade!

Nabii Tito!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Makao Makuu Dodoma)
Utakuwa unajua aliko wewe unachokoza tu
 
Amlipe Tundu Lisu hela za matibabu
Vinginevyo atatangulia ahera na hana atakacho faidi,zaidi ya mateso
 
Mm hata sija mmiss Kwanzaa katuharibia bunge limekuwa kibogoyo halisimamii serikali buli kuibeba serikali.. Ata asipo onekana poa tu l apoteelee mbali
 
Tangu kuanza kwa vikao vya Bunge hapa Dodoma, hukuonekana wala kusikika. Hata hafla za kitaifa zilizohitaji uwepo wako kama kuapishwa kwa Majaji na AG hukuwepo.

Badala yake, Naibu Spika Dr. Tulia Ackson Mwansasu na Mtemi Andrew Chenge wamekuwa wakiendesha Bunge na kukuwakilisha.

Uko wapi Mheshimiwa Spika? U mzima wa afya? U salama salmini? We miss you Comrade!

Nabii Tito!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Makao Makuu Dodoma)
Nilichofurahia kwenye huu uzi wako ni kujua kwa sasa upo Makao Makuu Dodoma...
huwa nafuatilia kujua kwasasa uko wapi Mkuu....
 
Tangu kuanza kwa vikao vya Bunge hapa Dodoma, hukuonekana wala kusikika. Hata hafla za kitaifa zilizohitaji uwepo wako kama kuapishwa kwa Majaji na AG hukuwepo.

Badala yake, Naibu Spika Dr. Tulia Ackson Mwansasu na Mtemi Andrew Chenge wamekuwa wakiendesha Bunge na kukuwakilisha.

Uko wapi Mheshimiwa Spika? U mzima wa afya? U salama salmini? We miss you Comrade!

Nabii Tito!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Makao Makuu Dodoma)

Apotelee mbali kule. Hana maana kwa taifa hili wala bunge. Kama gonjwa asitibiwe kwa fedha za walipa kodi. Mungu mkuu, malipo ni hapa hapa duniani. Ndugai angekuwa mboga, huwezi kulia ugali. Ni sumu kwa mwili wako!
 
Kwani anaumwaga na nini jamani. Tafadhali mtufahamishe
 
Yuko garage anapandisha nguvu ya mwili wke yale mambo sio mazuri
 
A
Sijawahi kusikia rais amekataza watu kujuliana wananchi kwa kiss cha utofauti wa itikadi labda kama aliwaambia hayo wanachama wake kwenye vikao vyao vya ndani.

Sijawahi kuchagua mwenyekiti wa chama na sitarajii hata siku moja kuwa chini ya mwenyekiti wala chama chochote.
Acha kujipendekeza mkuu INA maana hujui yanayojiri nchini ?
 
Uzuri wa Mungu hapangiwi na hatakuja kupangiwa na mtu nini afanye,unaweza kuyasema hapa leo hii uliyekuwa mzima ukamuacha hospitalini akiendelea na matibabu.

Lakini zaidi ya hilo ni kwamba hakuna ambaye ataishi milele hapa Duniani,maisha yetu ni mafupi na tukiyajaza chuki yatakuwa mafupi zaidi.
Umenikumbusha wakati wa kampeni wakisema mkimchagua Lowasa atakufa kabla ya kuapishwa, wengine wakamdhihaki wakisema afadhali ameondoka CCM. Wote hao walimtangulia kabla hata mwaka haujaisha mfano Kombani.
 
Apotelee mbali kule. Hana maana kwa taifa hili wala bunge. Kama gonjwa asitibiwe kwa fedha za walipa kodi. Mungu mkuu, malipo ni hapa hapa duniani. Ndugai angekuwa mboga, huwezi kulia ugali. Ni sumu kwa mwili wako!
OMG!
 
Back
Top Bottom