gwa myetu
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 4,473
- 4,671
Is that true, lkn kwa macho ya kawaida huwa kama amavimba vile usoni yaani kama kaumuka
Kuumuka usoni au ni dalili moja wapo ya kubugia vile vidonge vya kiwanda cha mwenyekiti wa zamani ccm Dar
Is that true, lkn kwa macho ya kawaida huwa kama amavimba vile usoni yaani kama kaumuka
Mbona unajipitisha kwa mwanaume halafu umeachia matako wazi huku ukiyachezesha kahaba wewe!Labda kwa bwana yako
Mimi ni mmojawapo kati ya wengi waliomuomba Mungu kufuta dua zote tulizomuombea Ndugai alipokuwa anaumwa wakati ule , baada ya kukengeuka na kuamua kumkiri Shetani .Aliwaambia Mdee na Bulaya hakuna kurudi hadi mwaka upite.. Naona wenzake wamerudi bungeni yeye bado anaendelea kupambana na kuokoa maisha yake....
...ni vizuri muendelee kummiss hivo hivo,..Tangu kuanza kwa vikao vya Bunge hapa Dodoma, hukuonekana wala kusikika. Hata hafla za kitaifa zilizohitaji uwepo wako kama kuapishwa kwa Majaji na AG hukuwepo.
Badala yake, Naibu Spika Dr. Tulia Ackson Mwansasu na Mtemi Andrew Chenge wamekuwa wakiendesha Bunge na kukuwakilisha.
Uko wapi Mheshimiwa Spika? U mzima wa afya? U salama salmini? We miss you Comrade!
Nabii Tito!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Makao Makuu Dodoma)
Yuko Dodoma kama nabii Tito?,..Nilichofurahia kwenye huu uzi wako ni kujua kwa sasa upo Makao Makuu Dodoma...
huwa nafuatilia kujua kwasasa uko wapi Mkuu....
Madaraka yanalevya zaidi ya mvinyo. Angalia mtu anasema hajaribiwi !! Lakini Mungu anasema nijaribuni muone kama milango ya mbingu haitafunguliwa !!! MADARAKA YANALEVYAHivi unadhani nitakengeuka nyuma hapana, tulimuombea sana kipindi kile anaumwa India, wakati bunge liko chini ya Naibu spika. Tukijua labda yeye akija atabalance. Aisee kweli heli ya shetani umjuae kuliko malaika usiemjua. Alichokuja kufanya hakuna asiejua hapa Tanzania, akaharibu kila kitu, kwa kifupi alijaa kiburi cha madaraka na uzima!! Alisahau madaraka huwa hayadumu milele, na uzima ni wa Mungu. Narudia tena, kama anumwa mapenzi ya Mungu yatimizwe, ila ingekuwa ndio mimi potelea mbali.