Uko wapi Mheshimiwa Spika Job Ndugai? We miss you!

Uko wapi Mheshimiwa Spika Job Ndugai? We miss you!

Tangu kuanza kwa vikao vya Bunge hapa Dodoma, hukuonekana wala kusikika. Hata hafla za kitaifa zilizohitaji uwepo wako kama kuapishwa kwa Majaji na AG hukuwepo.

Badala yake, Naibu Spika Dr. Tulia Ackson Mwansasu na Mtemi Andrew Chenge wamekuwa wakiendesha Bunge na kukuwakilisha.

Uko wapi Mheshimiwa Spika? U mzima wa afya? U salama salmini? We miss you Comrade!

Nabii Tito!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Makao Makuu Dodoma)
Akiwepo mnamsema vibaya, asipoonekana mnamiss.
 
India moja hiyo...alimtakia Lissu mauti lkn badala yake yeye yuko hoi kitandani na mipira ya kujisadia!

Sasa wewe kwa akili yako unadhani wewe huwezi kupatwa na maradhi? Kuna watu walimtabiria kifo mzee wetu lowasa, lakini hao hao ndiyo wametangulia kulamba mchanga. Acha hizo, maradhi ni kwa binadamu yoyote. Jifunze ustaarabu.
 
Akirud hamchelewag kumsema ameliharib bunge,au anajipendekeza kwa uncle magu mwachen akae huko huko
 
Dah! Maisha yanapoanza kunoga ndipo hapo afya inaanza kukorofisha au umri wa kustaafu nao unakuwa umefika. Why jamani why?
 
ef4aaf7a83166c9bb4c60d1372ed3f93.jpg
 
Uzuri wa Mungu hapangiwi na hatakuja kupangiwa na mtu nini afanye,unaweza kuyasema hapa leo hii uliyekuwa mzima ukamuacha hospitalini akiendelea na matibabu.

Lakini zaidi ya hilo ni kwamba hakuna ambaye ataishi milele hapa Duniani,maisha yetu ni mafupi na tukiyajaza chuki yatakuwa mafupi zaidi.
Ndio maan wanaccm wote waliosema lowasa ni mgonjwa wamekufa wao. Mungu kmwe hadhihakiwi.......haya yote ni comments hizi tunawakumbusha ccm
 
Tangu kuanza kwa vikao vya Bunge hapa Dodoma, hukuonekana wala kusikika. Hata hafla za kitaifa zilizohitaji uwepo wako kama kuapishwa kwa Majaji na AG hukuwepo.

Badala yake, Naibu Spika Dr. Tulia Ackson Mwansasu na Mtemi Andrew Chenge wamekuwa wakiendesha Bunge na kukuwakilisha.

Uko wapi Mheshimiwa Spika? U mzima wa afya? U salama salmini? We miss you Comrade!

Nabii Tito!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Makao Makuu Dodoma)
Huenda yuko india kutafuta rungu jipya
 
Ndio maan wanaccm wote waliosema lowasa ni mgonjwa wamekufa wao. Mungu kmwe hadhihakiwi.......haya yote ni comments hizi tunawakumbusha ccm
Lakini mkuu nawe unataka kufuata njia yao/ile ile,

Kikubwa tuombeane,kamwe tusiruhu tofauti ziwe za kisiasa,kidini,kikabila hata kikanda zitugawe kiasi cha kuwa maadui wa kutakiana hadi vifo.
 
Lakini mkuu nawe unataka kufuata njia yao/ile ile,

Kikubwa tuombeane,kamwe tusiruhu tofauti ziwe za kisiasa,kidini,kikabila hata kikanda zitugawe kiasi cha kuwa maadui wa kutakiana hadi vifo.
mbona rais wako mpaka nawakataza ccm wasitembeleane na wapinzani? au unaenda kinyume na mwenyekiti wako mjenga chuki kwa watz?
 
mbona rais wako mpaka nawakataza ccm wasitembeleane na wapinzani? au unaenda kinyume na mwenyekiti wako mjenga chuki kwa watz?
Sijawahi kusikia rais amekataza watu kujuliana wananchi kwa kiss cha utofauti wa itikadi labda kama aliwaambia hayo wanachama wake kwenye vikao vyao vya ndani.

Sijawahi kuchagua mwenyekiti wa chama na sitarajii hata siku moja kuwa chini ya mwenyekiti wala chama chochote.
 
..hujafa hujaumbika....huyu spika roho mbaya mno....mwache asote kokote aliko.....Na bado....nategemea yeye anajilipa hela ya matibabu.....baada ya kumsumbua Lissu haki yake ya matibabu...
 
Atakuwa Ubelgiji kumjulia hali TL na kumpelekea pesa za matibabu
 
anaugulia kale kaugojwa alichopewa na watu wasiojulikana.. yeye na Mwaki-mango ni wahanga wa mwanzo mwanzo walinyonyoka nywele kama mbwa aliyepata sotoka
Mkuu, hivi sotoka ndiyo nini vile? Kama nimeshawahi kulisikia hilo neno.
 
Back
Top Bottom