Uko wapi Mheshimiwa Spika Job Ndugai? We miss you!

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Tangu kuanza kwa vikao vya Bunge hapa Dodoma, hukuonekana wala kusikika. Hata hafla za kitaifa zilizohitaji uwepo wako kama kuapishwa kwa Majaji na AG hukuwepo.

Badala yake, Naibu Spika Dr. Tulia Ackson Mwansasu na Mtemi Andrew Chenge wamekuwa wakiendesha Bunge na kukuwakilisha.

Uko wapi Mheshimiwa Spika? U mzima wa afya? U salama salmini? We miss you Comrade!

Nabii Tito!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Makao Makuu Dodoma)
 
Tupa tupa Mzee wa Nyeti hujui aliko kweli? Maana we hakuna usichonusa.
 
Tangu kuanza kwa vikao vya Bunge hapa Dodoma, hukuonekana wala kusikika. Hata hafla za kitaifa zilizohitaji uwepo wako kama kuapishwa kwa Majaji na AG hukuwepo.

Badala yake, Naibu Spika Dr. Tulia Ackson Mwansasu na Mtemi Andrew Chenge wamekuwa wakiendesha Bunge na kukuwakilisha.

Uko wapi Mheshimiwa Spika? U mzima wa afya? U salama salmini? We miss you Comrade!

Nabii Tito!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Makao Makuu Dodoma)
India moja hiyo...alimtakia Lissu mauti lkn badala yake yeye yuko hoi kitandani na mipira ya kujisadia!
 
Tangu kuanza kwa vikao vya Bunge hapa Dodoma, hukuonekana wala kusikika. Hata hafla za kitaifa zilizohitaji uwepo wako kama kuapishwa kwa Majaji na AG hukuwepo.

Badala yake, Naibu Spika Dr. Tulia Ackson Mwansasu na Mtemi Andrew Chenge wamekuwa wakiendesha Bunge na kukuwakilisha.

Uko wapi Mheshimiwa Spika? U mzima wa afya? U salama salmini? We miss you Comrade!

Nabii Tito!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Makao Makuu Dodoma)

Ametumwa India kwa Matibabu
 
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! Au karudia tena zile safari zake za India ? Malipo ni hapahapa mkuu
 
Back
Top Bottom