kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,341
- 12,067
Read between the lines!!Akiwepo mnamsema vibaya, asipoonekana mnamiss.
Read between the lines!!Akiwepo mnamsema vibaya, asipoonekana mnamiss.
Yuko india mkuu
Swissme
Yupo India kwa matibabui am here what do you want son!!!!!
Alidhani masihara kumchapa fimbo mgombea mwenzie wakati wa kanpeni za ndani, jamaa kishamjibuUgonjwa wake umeamka
asirudi labda kwa mapambioPopote alipo aendelee kuwepo huko huko
I seeI see
Is that true, lkn kwa macho ya kawaida huwa kama amavimba vile usoni yaani kama kaumukaIndia moja hiyo...alimtakia Lissu mauti lkn badala yake yeye yuko hoi kitandani na mipira ya kujisadia!
Yeye anapowatakia wenzake vifo na kushirikiana na serikali ya wauajiUzuri wa Mungu hapangiwi na hatakuja kupangiwa na mtu nini afanye,unaweza kuyasema hapa leo hii uliyekuwa mzima ukamuacha hospitalini akiendelea na matibabu.
Lakini zaidi ya hilo ni kwamba hakuna ambaye ataishi milele hapa Duniani,maisha yetu ni mafupi na tukiyajaza chuki yatakuwa mafupi zaidi.
Nobody misses him except his allies in the oppression of democracyAkiwepo mnamsema vibaya, asipoonekana mnamiss.
Huyu juna wengi wamekufa kwenye mikono yakeSasa wewe kwa akili yako unadhani wewe huwezi kupatwa na maradhi? Kuna watu walimtabiria kifo mzee wetu lowasa, lakini hao hao ndiyo wametangulia kulamba mchanga. Acha hizo, maradhi ni kwa binadamu yoyote. Jifunze ustaarabu.
Mzee Tupatupa, kweli hata mimi nimejiuliza Jana, yaani umeniwahi sana kufungua hii thread.Tangu kuanza kwa vikao vya Bunge hapa Dodoma, hukuonekana wala kusikika. Hata hafla za kitaifa zilizohitaji uwepo wako kama kuapishwa kwa Majaji na AG hukuwepo.
Badala yake, Naibu Spika Dr. Tulia Ackson Mwansasu na Mtemi Andrew Chenge wamekuwa wakiendesha Bunge na kukuwakilisha.
Uko wapi Mheshimiwa Spika? U mzima wa afya? U salama salmini? We miss you Comrade!
Nabii Tito!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Makao Makuu Dodoma)
Hili alimwomba msamaha aliyemtandika bakora??Ugonjwa wake umeamka
Stop that!Lakini mkuu nawe unataka kufuata njia yao/ile ile,
Kikubwa tuombeane,kamwe tusiruhu tofauti ziwe za kisiasa,kidini,kikabila hata kikanda zitugawe kiasi cha kuwa maadui wa kutakiana hadi vifo.
Kweli!!Yuko india mkuu
Swissme
Jamani humu sio Fb, leteni taarifa za ukweli jamani. Aliongea bungeni kwamba atasababisha mgogoro wa kikatiba, ambao hautakuja kutokea. Mungu mimi nakuomba kwa mapenzi yako umchukue.India moja hiyo...alimtakia Lissu mauti lkn badala yake yeye yuko hoi kitandani na mipira ya kujisadia!
Hahaaaaaaah, duh!! Sotoka?anaugulia kale kaugojwa alichopewa na watu wasiojulikana.. yeye na Mwaki-mango ni wahanga wa mwanzo mwanzo walinyonyoka nywele kama mbwa aliyepata sotoka
Naona Tulia anapiga jalamba kila kukicha yuko kwenye kampeni huko mbeya, labda wasiojulikana washapanga yaoMungu ni mkubwa!!! Huenda tukaona miujiza yake mapema.