Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,340
- 46,131
Niko kwenye mahusiano ambayo nimetambulishwa ukweni na ni mara ya kwanza kuwa karibu na mama mkwe.
Ila shida inakuja mama mkwe kama ananinyenyekea sana kitu ambacho sitaki kuona mama mkwe akifanya hivyo.
Napenda mama mkwe kuwa kama mshikaji, story nyingi sana yaani tuwe marafiki.
Kila ninapohisi hali hiyo ya kuninyenyekea, mimi naweke mambo sawa lakini mama mkwe anashindwa kusoma nyakati.
Vipi ulitumia mbinu gani kuwa karibu na mama mkwe wako au unaishi vipi na mama mkwe wako?.
JF
Ilikuaje mkuu?Mi nilienda na KULGER V ukweni tena sio mke ni dem wangu tu dah yani siludii tena kwenda na gari ukweni
We zombie🎵🎶Mimi hata kupigiwa au kupiga simu ya mama mkwe lazima iwepo shida maalumu sio nilikuwa nakusalimia,mama mkwe hawezi nipigia simu bila kitu muhimu hiyo ndo tamaduni zetu
Nikienda msalimia kwao anakaa mbali sema mashemeji zangu ndo kichomi wanataka kufukuzana mbele ya mama ila nilikuwa nawapiga saundi hadi washanijua sipendagi michezo mbele ya mama yao
Ukijibiwa niite mkuuIlikuaje mkuu?
yaani binti yake ni mshikaji wako unataka hata mama yake kusiwe mpaka awe mshikaji wako? Hauko sawa kichwani.Niko kwenye mahusiano ambayo nimetambulishwa ukweni na ni mara ya kwanza kuwa karibu na mama mkwe.
Ila shida inakuja mama mkwe kama ananinyenyekea sana kitu ambacho sitaki kuona mama mkwe akifanya hivyo.
Napenda mama mkwe kuwa kama mshikaji, story nyingi sana yaani tuwe marafiki.
Kila ninapohisi hali hiyo ya kuninyenyekea, mimi naweke mambo sawa lakini mama mkwe anashindwa kusoma nyakati.
Vipi ulitumia mbinu gani kuwa karibu na mama mkwe wako au unaishi vipi na mama mkwe wako?.
JF
Yani pale palikuwa kama pasaka au Christmas nyomi kama lote nahisi yule du aliwaambia sijui mi nna pesa sana yani nilivuta picha apa nimekuja kumuangaria tu anaumwa je kwenye mahari apa si itakuwa hatari ilinitoka laki na arobaini hivi hiviIlikuaje mkuu?
Dah pole sana mkuuYani pale palikuwa kama pasaka au Christmas nyomi kama lote nahisi yule du aliwaambia sijui mi nna pesa sana yani nilivuta picha apa nimekuja kumuangaria tu anaumwa je kwenye mahari apa si itakuwa hatari ilinitoka laki na arobaini hivi hivi
Ukijibiwa niite mkuu 👍👍
Yani pale palikuwa kama pasaka au Christmas nyomi kama lote nahisi yule du aliwaambia sijui mi nna pesa sana yani nilivuta picha apa nimekuja kumuangaria tu anaumwa je kwenye mahari apa si itakuwa hatari ilinitoka laki na arobaini hivi hivi
Mama mkwe wako awe mtu huru kwako kwanini? Unataka uhuru gani kati yenu?Si kama huke ushikaji unaofikiria. nisema kama ila sio ushikaji.
Nikitamani aww mtu huru kwangu
Mimi limama mkwe langu likikaa vibaya barabarani napiga tairi....tunazika.Niko kwenye mahusiano ambayo nimetambulishwa ukweni na ni mara ya kwanza kuwa karibu na mama mkwe.
Ila shida inakuja mama mkwe kama ananinyenyekea sana kitu ambacho sitaki kuona mama mkwe akifanya hivyo.
Napenda mama mkwe kuwa kama mshikaji, story nyingi sana yaani tuwe marafiki.
Kila ninapohisi hali hiyo ya kuninyenyekea, mimi naweke mambo sawa lakini mama mkwe anashindwa kusoma nyakati.
Vipi ulitumia mbinu gani kuwa karibu na mama mkwe wako au unaishi vipi na mama mkwe wako?.
JF
Kwa hiyo kwa akili zako, unadhani wewe unaelewa sana haya mambo kuliko mama mkwe wako?Kila ninapohisi hali hiyo ya kuninyenyekea, mimi naweke mambo sawa lakini mama mkwe anashindwa kusoma nyakati.