Asome post za Mzizi Mkavu humu ndani!
Kama nakumbuka vizuri walipewa tablet bungeni - jee watakuwa hawakufundishwa kuzitumia? Ila hayo uliyoyataja pengine hummalizia muda wote wa ziada!anajua hatakama una qwertykey keyboard kweli zaidi ya kujua ♀ na ♬♬♬!
Nimemsikia leo akihojiwa na radio Dw Mh,JOHN KOMBA amekiri unene unamsumbua na ameahidi kama kuna mtu atamsaidia kua mwembamba atakua rafiki yake daima.
Wadau fursa hiyo
Mie nipo tayari swali nitampamuonaje
Aende Jeshini.

Kama kashindwa Lulu we utaweza?
Duh...kama ujauzito vile!😕mazoezi muhimu...
![]()
Amtafute Mustapha hassanari nadhani itakuwa practical zaidi atamsaidia