Uko tayari kumsaidia Mh. John Komba?

Uko tayari kumsaidia Mh. John Komba?

Komba kile sio kitambi ni mavi tu kwenye utumbo mkubwa yaani large intestine. ale roughage na maji mengi siku tano mfululizo utaniambia
 
Nimemsikia leo akihojiwa na radio Dw Mh,JOHN KOMBA amekiri unene unamsumbua na ameahidi kama kuna mtu atamsaidia kua mwembamba atakua rafiki yake daima.
Wadau fursa hiyo

Mie nitamuongezea unene hadi awe wa character kama tufe!
 
Aache kunywa pombe na kufuga mzuzu unammalizia hewa vinginevyo akajiunge na the wyatt family

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

hakijiunga na wyatt family atapungua uzito kwan watu wenyewe wale ni vurugu tuuuuuuuu
 
Unene ni dalili ya ulafi na utapiamlo, nchini Uingereza ni moja ya vigezo vya wewe kunyimwa kazi, kama wewe ni bonge nyanya anza mazoezi sasa ya kupunguza manyama uzembe. usichukie bure huo ndio ukweli, mtoto wangu kwa taarifa yako ana figure kama ya Kagame.

Tatizo huku kwetu Bongo mtu ukinenepa wenzio wanakusifia na kukuambia mambo yako safi.
 
Hatuko tayari kumsaidia mchapa usingizi bungeni. mpeleke chooni kwanza.
 
mazoezi ndio haya....

images
 
Nimemsikia leo akihojiwa na radio Dw Mh,JOHN KOMBA amekiri unene unamsumbua na ameahidi kama kuna mtu atamsaidia kua mwembamba atakua rafiki yake daima.
Wadau fursa hiyo

Kwani aliyemwambia kuwa watu wanatamani kuwa na urafiki naye ni nani? Mie binafsi sipendi tabia zake, hivyo sina haja ya urafiki nae.
 
Mbn anatafuta msaada jf. Yy hana fungu la kwenda tibiwa apola, milbag au st tomas?. Ushauri apunguze kulakula na asiwe mvivu
 
Nimemsikia leo akihojiwa na radio Dw Mh,JOHN KOMBA amekiri unene unamsumbua na ameahidi kama kuna mtu atamsaidia kua mwembamba atakua rafiki yake daima.
Wadau fursa hiyo

Amezoea kutoa rushwa!
JK (John Komba) abadilishe life style yake
Ajiunge na Gym kwa ajili ya mazoezi
Ajiunge na swimming club; swimming is the best exercise.
Akamuone dietician amshauri aina ya vyakula vitakavyomsaidia, na ratiba ya kula.
Aache kilevi na sigara kama anatumia
Afanye kazi zinazohitaji kutumia akili zaidi sio kwenda kusinzia bungeni na kuconduct mziki TOT.

Ani PM nimshauri zaidi proffesionaly lakini urafiki nae sitaki. namsaidia kama binadamu mwenzangu period.
 
Ni kumkataa shetani na kazi zake zote na mambo yake yote

Nimemsikia leo akihojiwa na radio Dw Mh,JOHN KOMBA amekiri unene unamsumbua na ameahidi kama kuna mtu atamsaidia kua mwembamba atakua rafiki yake daima.
Wadau fursa hiyo
 
Back
Top Bottom