Uko tayari kumsaidia Mh. John Komba?

Uko tayari kumsaidia Mh. John Komba?

Aache kunywa pombe na kufuga mzuzu unammalizia hewa vinginevyo akajiunge na the wyatt family

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Atafute kabinti kadogo fataki huyu ili ampe mazoezi!!! Tehe Tehe!!!! Ulaji mbovu afya mbovu!!!! Mbona zamani alikuwa na afya yake nzuri tu japo kitambi but hakikuwa hivi!!! wakati ule alikuwa jeshini na TOT alikuwa a bit fit!! Baada ya kupata ubunge wa kusinzia full na gari basi matende na tumbo kama la tembo.
 
Amtafute Mustapha hassanari nadhani itakuwa practical zaidi atamsaidia

BEFORE...
t+%2817%29.JPG
Hassanali+Designer.jpg
n655326717_328737_7914%5B1%5D.jpg

AFTER...
mustapha-oct30-2013.jpg
Mustafa-Hassanali-200x200.jpg
 
Kwa uwezo wa fedha alionao anaweza fanyiwa lipoplasty...

Kama anataka kupunguza unene kwa namna ya kawaida basi inabidi aunguze hizo extra extra calories kwa exessive workouts na mlo unaoratibiwa...
 
Amtafute Mustapha hassanari nadhani itakuwa practical zaidi atamsaidia

Komba asiwe na haraka: mara Ubunge utakapokwisha na kitambi nacho kitakwisha, asiende mbali hapo hapo Dar amtafute askari mwenzie mstaafu Brig Gen. Karubi atampa somo!!!
 
Kupungua uzito ni kitu raisi sana aende benk yoyote akakope mkopo unaozidi mali zake ataona matokeo.
 
Amuone Maxence Melo anayelala masaa mawili tu atampa siri ya wembamba.

Jitu lolote lilafi fisadi lisilotumia akili nyingi lisitegemee kuwa na sex body. miili ya kilafi ni adhabu kutoka kwa Mungu.
 
Amuone Maxence Melo anayelala masaa mawili tu atampa siri ya wembamba.

Jitu lolote lilafi fisadi lisilotumia akili nyingi lisitegemee kuwa na sex body. miili ya kilafi ni adhabu kutoka kwa Mungu.

Unaonekana kuwa na hasira sana na watu wanene mkuu ila omba Mungu sana mwanao asije ugua ugonjwa wa unene (gigantism)!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom