Uko tayari kumsaidia Mh. John Komba?

Uko tayari kumsaidia Mh. John Komba?

Mie nipo tayari swali nitampamuonaje

ndio mimi ni pm tuwasiliane yaani hapa naemea juu juuu presha inapanda presha inashukka hata kufunga kamba za viatu siwezi sababu ya hili tumbo,na kwa wifi yako nina staili mbili tu nsaidie heaven ntakupa posho na marupurupu yote ya bunge hili la katiba
 
Kwa uwezo wa fedha alionao anaweza fanyiwa lipoplasty...

Kama anataka kupunguza unene kwa namna ya kawaida basi inabidi aunguze hizo extra extra calories kwa exessive workouts na mlo unaoratibiwa...

Hapo kwenye mlo ndo wengi wanashindwa.
 
Unaonekana kuwa na hasira sana na watu wanene mkuu ila omba Mungu sana mwanao asije ugua ugonjwa wa unene (gigantism)!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Unene ni dalili ya ulafi na utapiamlo, nchini Uingereza ni moja ya vigezo vya wewe kunyimwa kazi, kama wewe ni bonge nyanya anza mazoezi sasa ya kupunguza manyama uzembe. usichukie bure huo ndio ukweli, mtoto wangu kwa taarifa yako ana figure kama ya Kagame.
 
Amuone Maxence Melo anayelala masaa mawili tu atampa siri ya wembamba.

Jitu lolote lilafi fisadi lisilotumia akili nyingi lisitegemee kuwa na sex body. miili ya kilafi ni adhabu kutoka kwa Mungu.

yaani nimecheka aiseee uwiii
 
Si yupo Lulu wawe wanaenda wote jimu,si ana pesa aende akafanyiwe upasuaji mafuta yote yatolewe mbona simple
Kwa hiyo utamu hapati maana kitu kile sikipati pichaa
 
Unaonekana kuwa na hasira sana na watu wanene mkuu ila omba Mungu sana mwanao asije ugua ugonjwa wa unene (gigantism)!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

usichanganye GIGANTISM na OBESITY.....
 
aWE NA UCHUNGU NA SHIDA ZA WATANZANIA NA AWAZE ATAWAFANYIA NINI WANA JIMBO WAKE NA NCHI NZIMA ATAPATA UCHUNGU AKIWAONA WATANZANIA WALIVYO NA SHIDA NA YEYE NA CCM WANAVYOILA NCHI HUKU WTZ WAKITESEKA WAKIWA HAWAJUI HATA KESHO YAO ITAKUWAJE HUKU YEYE NA MA CCM WENZAKE WAKIWA NA AKIBA HADI YA WAJUKUU WAO MUNGU AENDELEE KUWALAANI WAPATWE NA MAJANGA MAGONJWA YA AJABU AJABU WAENDE KUTIBIWA ULAYA NA ROHO ZAO ZIBAKIE HUKOHUKO
 
Amfwate lulu ampe dawa ama aombe msamaha kwa kanumc uko aliko atakonda ile unene kipapa
mwonja huonjwa
 
kwanza ajiulize unene wake ni kutokana na msosi au ni asili alizaliwa hivyo. hapo anaweza kujua achukue hatua zipi. pole sana captain komba
 
BEFORE...
t+%2817%29.JPG
Hassanali+Designer.jpg
n655326717_328737_7914%5B1%5D.jpg


AFTER...
mustapha-oct30-2013.jpg
Mustafa-Hassanali-200x200.jpg

Mh, hapa kazi ipo
 
Back
Top Bottom