Uko tayari kumsaidia Mh. John Komba?

Uko tayari kumsaidia Mh. John Komba?

Wonderful
 

Attachments

  • 1392816278061.jpg
    1392816278061.jpg
    43.5 KB · Views: 246
Nimemsikia leo akihojiwa na radio Dw Mh,JOHN KOMBA amekiri unene unamsumbua na ameahidi kama kuna mtu atamsaidia kua mwembamba atakua rafiki yake daima.
Wadau fursa hiyo

Anywe dawa za kuharisha kila weekend kwa mda wa miezi 3 akishindwa aende India akafanyiwe Oparation ya kuondoa mafuta Tumboni
 
Mwambie anipe namba ya simu yake nitamwambia nn chakufanya atafurahia hali yake wala haitamsumbua
 
Unene ni dalili ya ulafi na utapiamlo, nchini Uingereza ni moja ya vigezo vya wewe kunyimwa kazi, kama wewe ni bonge nyanya anza mazoezi sasa ya kupunguza manyama uzembe. usichukie bure huo ndio ukweli, mtoto wangu kwa taarifa yako ana figure kama ya Kagame.
Kule Uswizi watu wa aina ya Komba hawaruhusiwi na kama ni mgeni unafukuzwa urudi kwenu na minyama uzembe yako
 
Nimemsikia leo akihojiwa na radio Dw Mh,JOHN KOMBA amekiri unene unamsumbua na ameahidi kama kuna mtu atamsaidia kua mwembamba atakua rafiki yake daima.
Wadau fursa hiyo

Si alikua kapten wa jeshi leo anaomba msaada wa kupunguza unene HII KALI.
 
komba labda asile siku tatu ndo atapungua uzito
 
Back
Top Bottom