To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 19,151
- 34,283
Afu Leo nipo ovyo kweli..dadeki😋Unazeeka na utamu wako au siyo...
Afu Leo nipo ovyo kweli..dadeki😋Unazeeka na utamu wako au siyo...
Mtoto unautaka au siyo...Afu Leo nipo ovyo kweli..dadeki😋
😓Am a newbornMtoto unautaka au siyo...
New born my foot... kwani uc.iii umeziba?😓Am a newborn
Ooh your foot!?? Okay...utakula ulikopeleka mboga dogorasiNew born my foot... kwani uc.iii umeziba?
Basi hapo upo moto hasa unautaka... Hakika ngo'mbe hazeeki maini...Ooh your foot!?? Okay...utakula ulikopeleka mboga dogorasi
🤣🤣🤣Yaan tabu tupu aisee...ila siyo kama vya ujanani sahivi nimejizeekea Kasi yake ni ndogo...vile ilikuwa ni mihemko hadi unachanganyika...majukumu now kedee🙌Basi hapo upo moto hasa unautaka... Hakika ngo'mbe hazeeki maini...
Unajichukulia sheria tu...🤣🤣🤣Yaan tabu tupu aisee...ila siyo kama vya ujanani sahivi nimejizeekea Kasi yake ni ndogo...vile ilikuwa ni mihemko hadi unachanganyika...majukumu now kedee🙌
Weee,🤣 ungejua usingesema tu....sijui nimerogwa....unajua sikipendi hata kidole changu😔Unajichukulia sheria tu...
Najua unapenda nini...Weee,🤣 ungejua usingesema tu....sijui nimerogwa....unajua sikipendi hata kidole changu😔
🤣🤣🤣Hata yeye simtaki tena 🤒Najua unapenda nini...
Ila unaendaga basi tu sababu ya shida... Hahahaha🤣🤣🤣Hata yeye simtaki tena 🤒
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣NiacheIla unaendaga basi tu sababu ya shida... Hahahaha
Hakuna ku retireUjana unasemwa ni maji ya moto.. Hivyo harakati ni nyingi na ndoto ni nyingi na mipango ni mingi pia.. Lakini taratibu umri unavyosogea vyote hivyo hupungua na hatimaye kwisha kabisa..
Kuna mambo ya kufanya ujanani ambayo mtu hapaswi kufanya uzeeni
Uzee una mengi yasiyopo ujanani na ndio maana wanasema fainali uzeeni
Ila kama kuna mambo hukuyafanya ujanani kina uwezekano mkubwa ukayafanya uzeeni
Kumbuka wahuni pia huzeeka.. Na baadhi huzeeka na uhuni wao... Na ni rahisi kuwa mwanga uzeeni kuliko ujanani kwasababu ya upweke
Mimi nikizeeka nataka niwe pastor.. Vipi kuhusu wewe... ( kama utazeeka lakini😂)
Unakamuliwa kwa roho safi...🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Niache
Miaka 47 tayari nashinda kwenye l Banda la kuku na Nina kuku hata 30 hawajifika. Muda wangu wa ziada nashinda naoUjana unasemwa ni maji ya moto.. Hivyo harakati ni nyingi na ndoto ni nyingi na mipango ni mingi pia.. Lakini taratibu umri unavyosogea vyote hivyo hupungua na hatimaye kwisha kabisa..
Kuna mambo ya kufanya ujanani ambayo mtu hapaswi kufanya uzeeni
Uzee una mengi yasiyopo ujanani na ndio maana wanasema fainali uzeeni
Ila kama kuna mambo hukuyafanya ujanani kina uwezekano mkubwa ukayafanya uzeeni
Kumbuka wahuni pia huzeeka.. Na baadhi huzeeka na uhuni wao... Na ni rahisi kuwa mwanga uzeeni kuliko ujanani kwasababu ya upweke
Mimi nikizeeka nataka niwe pastor.. Vipi kuhusu wewe... ( kama utazeeka lakini😂)
😓Unakamuliwa kwa roho safi...
😕😕😕😕Aahh umenigusa pabaya ulivyomtaja huyu Manengelo a.k.a Mbitiyanza!!