Ukizeeka unataka kuwa nani?

Ukizeeka unataka kuwa nani?

Binadamu wanavyozidi kunikera nafikiria kuwa mshirikina ili nisiwe napata maumivu ya nafsi pindi wajingawajinga wakisumbua. Kama yule mkuu wa shirikisho la futibumbu ningekuwa mshirikina ningekuwa namtumia nyuki kila atakapoongelea masuala ya mpira au kila atakapokaribia mazingira ya ofisi.

Ni mkuu wa shirikisho pekee. Hao wakuu wengine kama Ney na Madiiiiiiii sihusiki nao.

Msinitafute, nimekamatika kuliko Jafary Koppa.
 
C5844917-AA17-421E-A3FA-704E9D8697FB.jpeg
Wakati wengine wanawaza uzee wao utakuwaje, “Mzee mimi👨🏽‍🦳🤣🙌🏻
 
Ujana unasemwa ni maji ya moto.. Hivyo harakati ni nyingi na ndoto ni nyingi na mipango ni mingi pia.. Lakini taratibu umri unavyosogea vyote hivyo hupungua na hatimaye kwisha kabisa..
Kuna mambo ya kufanya ujanani ambayo mtu hapaswi kufanya uzeeni
Uzee una mengi yasiyopo ujanani na ndio maana wanasema fainali uzeeni
Ila kama kuna mambo hukuyafanya ujanani kina uwezekano mkubwa ukayafanya uzeeni
Kumbuka wahuni pia huzeeka.. Na baadhi huzeeka na uhuni wao... Na ni rahisi kuwa mwanga uzeeni kuliko ujanani kwasababu ya upweke
Mimi nikizeeka nataka niwe pastor.. Vipi kuhusu wewe... ( kama utazeeka lakini😂)
Playing pc games and enjoying kodi za nyumba tu ...and writing tu
 
Back
Top Bottom